Dear Comrades, kidumu chama la wana wenye akili timamu KATAA NDOA!!!👏👏👏
Jana imetoka hukumu ya Kesi ya mauaji ya mwanaume wa kitanzania aliyefanya mauaji ya mkewe na kisha kumchoma kwa gunia mbili za mkaa huko Kigamboni.Hakuna faida ya ndoa kwa mwanaume.Ukioa unapoteza vingi mfano;
1. Jamaa amepoteza uhuru wake tangu 2019.
2. Jamaa amepoteza biashara zake.
3. Jamaa amepoteza uhuru wa kunyandua pisi kali atakavyo.
Wanaume mnaojielewa KATAENI NDOA,ACHENI UJINGA DUNIA IMEBADILIKA UMUHIMU NA NGUVU YA NDOA HAIPO TENA.NDOA NI BIASHARA YENYE FAIDA KWA MWANAMKE NA HASARA NA MAJUTO KWA MWANAUME.
📌📌📌SWALLOW YOUR EGO GUYS ITS SOO PAINFUL KUONA AN ESTABLISHED MAN ANAPOTEA KIZEMBE KISA P*SSY AMBAYO UKUTE HATA SIO YA KIWANGO CHA DUNIA.
MWANAUME UKISHINDWA KUWA KATAA NDOA BASI KAMWE USIJE UKAPENDA.UKIPENDA TU IMEKULA KWAKO!!!
Nimekisoma kisa cha huyo mwamba kwa Buyobe wa "x" jinsi alivyokuwa anaishi kwenye nyumba yake kama mateka,ni huzuni.Hivi unawezaje kuvutwa makende na mkeo mbele mamako🤔🤔🤔,kupigwa na kunyanyaswa ndani ya gorofa ulilojenga mwenyewe kwa jasho lako.
📌📌📌Wale msioweza KUKATAA NDOA.OENI MAGOLI KIPA.NASEMA OA GOLI KIPAAAAAAAA UTAKUJA KUNISHUKURU BAADAE,OENI MAGOLIKIPAAAAA.MWANAMKE HAKUUMBIWA KUMILIKI MALI🤝🤝🤝
📌📌📌KATAA NDOA,ULINDE UCHUMI WAKO,AFYA YAKO YA AKILI NA UHURU WAKO!!!!
Asiyesikia na limkute jambo.