Kataa ndoa uishi maisha yako ya furaha na amani

Kataa ndoa uishi maisha yako ya furaha na amani

Tuliambiwa tuishi nao kwa akili, wewe kama umekosa akili ya kuishi nao tuachie sisi. Ni kweli kuwa sio Me wote wenye akili ya kuishi na Ke, hata Mtume Paulo aliwaandikia Wakorintho namna hiyo, soma 1 Cor. 7
Huu uzi ni kwa wanaume wenye akili wewe uliyeshinikizwa kuoa hatukuhitaji hapa.Nenda kaendelee kuendeshwa na mkeo.

Mmedanganywa kwa mda mrefu na mafundisho ya hovyo kwamba mwanaume anatakiwa kuwa na mke mmoja hivi hamuoni hata kwa wanyama jinsi dume linavyomiliki majike yakutosha.
 
Tag unaotaka wachangie uzi, kama huwezi basi ujue hii ni platform huru, ukitupia uzi ujue kila mtu ana uhuru wa kuchangia chochote.
 
🚨🚨🚨Hakuna mtu yupo tayari kukwambia ndoa ni mtego.

🚨🚨🚨Hakuna mtu yupo tayari kukwambia ndoa ni vita kama vita nyingine!!!

Ewe kijana jipendwe kwanza wewe,hakuna mapenzi hapa duniani anayekupenda ni aliyekuumba tu.Wengine wote wapo na wewe kwa maslahi flaniflani.

📌📌📌Vijana amkeni,utajifanya ngunguri utaforce uoe leo.Ila baada ya miaka mitano utaanza kuona ni kwa jinsi gani umepotea njia kwa wewe kutojiwekezea binafsi na kuwekeza kwenye ndoa ambayo kesho au keshokutwa ikivunjika hasara na mzigo wa majukumu unakuangukia wewe mwanaume.

Vijana amkeniiiii.Vijanaaaaaaaa jipendeni kama unasoma soma na jiendelezea mpaka ufikie level kubwa huko za masters ama PhD.Kama ni biashara jinvest usiridhike na pesa mbili tatu unazopata,Kama ni mali andikisha kwa jina la mama yako au zipige WAKFU ili zisiweze kuuzika.

Vijana wa kiume anzeni kuwa SELFISH.Maisha yamegeuka gwaride ukizubaa utazikwa na tutakusahau.

📌📌📌KATAA NDOA,KATAA LAANA!!!
🤣
 
Tag unaotaka wachangie uzi, kama huwezi basi ujue hii ni platform huru, ukitupia uzi ujue kila mtu ana uhuru wa kuchangia chochote.
Pita hivi wewe anzisha siredi zenu na chama chenu cha KUBALI NDOA.

📌📌Utapata wajinga wenzenu ila cha kukwambia tu wanachama wa KUBALI NDOA wengi wapo kaburini,wengine machizi,wengine wapo jela wanasubiri kunyongwa na wengine wamefungwa vifungo vya maisha.

Hao misukule wachache utakao wapata ni walevi mbwa ambao kutwa kushinda baa n vijiweni nyumba zao hazikaliki.
 
Ni ajabu sana kuona mwanaume anakasirika kuona Me wenzake wanaoa. Huenda kuna namna mnataka kuolewa, ndio maana mnakataa Ke wakuolewa.
 
Nimekubaliana na vyote, ila na uwepo wa tgnp, sijui women in advocacy. Ndio maana ile kesi wamama wamesimamia. Hatoki labda uwe ww raisi.
📌📌📌KATAA NDOA.MWANAUME MAHAKAMA YAKO NI PENIS YAKO KIJANA.

HAKUNA WA KUKUTETEA WEWE KIHESHIMU KICHWA CHA JUU USIKUBALI KICHWA KIDOGO KIKUTAWALE!!!
 
Kuna vipimo vinaona UKIMWI hata wa nusu saa iliyopita kijana.

📌📌Na pia kama UKIMWI hauonekana kwa vipimo huo, hauna uwezo wa kuamvukizwa kutoka mtu mmoja kwenda mwingine.

Hizi mada wanaweza kuchangia watu kama Liverpool VPN GENTAMYCINE. Nyie mapopoma nendeni kwenye mada zenu za Simba na Yanga huku panahitaji akili kubwa tu🤝
Ngoja yawakute.
Watarudi hapahapa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Tuliambiwa tuishi nao kwa akili, wewe kama umekosa akili ya kuishi nao tuachie sisi. Ni kweli kuwa sio Me wote wenye akili ya kuishi na Ke, hata Mtume Paulo aliwaandikia Wakorintho namna hiyo, soma 1 Cor. 7
Wewe una akili kuliko waliomtoa bikra?

Mwanamke ni kiumbe emotional, anaweza kushikwa masikio salon,akaja anataka talaka, ngoma ikifika ustawi, hata utumie akili za elon musk talaka utatoa taka usitake.
 
Kwa hiyo hutaki vile biblia ilivyosema tuishi nao kwa akili? Unataka twende nao kihisia kama wao walivyo?
 
Ni ajabu sana kuona mwanaume anakasirika kuona Me wenzake wanaoa. Huenda kuna namna mnataka kuolewa, ndio maana mnakataa Ke wakuolewa.
📌📌📌Huna akili wahi mirembe,na kabla ya kwenda Mirembe pitia kwa mkemia mkuu wa serikali ukapimwe mkojo!!!
 
Kwa hiyo hutaki vile biblia ilivyosema tuishi nao kwa akili? Unataka twende nao kihisia kama wao walivyo?
Bibilia ni kijitabu tumia vizuri hicho kichwa chako.Usipende kushikwa akili na maandiko ya kufikirika.
 
Kila kitu kina pros and cons
Dear Comrades, kidumu chama la wana wenye akili timamu KATAA NDOA!!!👏👏👏

Jana imetoka hukumu ya Kesi ya mauaji ya mwanaume wa kitanzania aliyefanya mauaji ya mkewe na kisha kumchoma kwa gunia mbili za mkaa huko Kigamboni.Hakuna faida ya ndoa kwa mwanaume.Ukioa unapoteza vingi mfano;

1. Jamaa amepoteza uhuru wake tangu 2019.
2. Jamaa amepoteza biashara zake.
3. Jamaa amepoteza uhuru wa kunyandua pisi kali atakavyo.

Wanaume mnaojielewa KATAENI NDOA,ACHENI UJINGA DUNIA IMEBADILIKA UMUHIMU NA NGUVU YA NDOA HAIPO TENA.NDOA NI BIASHARA YENYE FAIDA KWA MWANAMKE NA HASARA NA MAJUTO KWA MWANAUME.

📌📌📌SWALLOW YOUR EGO GUYS ITS SOO PAINFUL KUONA AN ESTABLISHED MAN ANAPOTEA KIZEMBE KISA P*SSY AMBAYO UKUTE HATA SIO YA KIWANGO CHA DUNIA.

MWANAUME UKISHINDWA KUWA KATAA NDOA BASI KAMWE USIJE UKAPENDA.UKIPENDA TU IMEKULA KWAKO!!!

Nimekisoma kisa cha huyo mwamba kwa Buyobe wa "x" jinsi alivyokuwa anaishi kwenye nyumba yake kama mateka,ni huzuni.Hivi unawezaje kuvutwa makende na mkeo mbele mamako🤔🤔🤔,kupigwa na kunyanyaswa ndani ya gorofa ulilojenga mwenyewe kwa jasho lako.

📌📌📌Wale msioweza KUKATAA NDOA.OENI MAGOLI KIPA.NASEMA OA GOLI KIPAAAAAAAA UTAKUJA KUNISHUKURU BAADAE,OENI MAGOLIKIPAAAAA.MWANAMKE HAKUUMBIWA KUMILIKI MALI🤝🤝🤝

📌📌📌KATAA NDOA,ULINDE UCHUMI WAKO,AFYA YAKO YA AKILI NA UHURU WAKO!!!!

Asiyesikia na limkute jambo.
 
Ni ajabu sana kuona mwanaume anakasirika kuona Me wenzake wanaoa. Huenda kuna namna mnataka kuolewa, ndio maana mnakataa Ke wakuolewa.
Mdau acha kubishana na watoto,kwa kuzingatia tu uandishi wa waliochangia huu uzi unaweza kujua una-argue na vijana rika gani wewe huoni post zinavyoandikwa kila baada ya neno kunajazwa emoji?

Post yako moja pale juu ilikuwa inatosha kwa wenye akili kuelewa huku kwengine unapoteza muda tu hawa wape muda bado wapo kwenye umri wa ujinga kutaka kuwaza kila kitu kutenda kila kitu huku wakiamini wapo sahihi kumbe ni kujidanganya tu.
 
Mdau acha kubishana na watoto,kwa kuzingatia tu uandishi wa waliochangia huu uzi unaweza kujua una-argue na vijana rika gani wewe huoni post zinavyoandikwa kila baada ya neno kunajazwa emoji?

Post yako moja pale juu ilikuwa inatosha kwa wenye akili kuelewa huku kwengine unapoteza muda tu hawa wape muda bado wapo kwenye umri wa ujinga kutaka kuwaza kila kitu kutenda kila kitu.
Wazee suburi kufa,mnastress za kunyimwa unyumba kaeni kwa kutulia.

Ni zamu ya KATAA NDOA!!!
 
Kuna vipimo vinaona UKIMWI hata wa nusu saa iliyopita kijana.

📌📌Na pia kama UKIMWI hauonekana kwa vipimo, huo hauna uwezo wa kuambukizwa kutoka mtu mmoja kwenda mwingine.

Hizi mada wanaweza kuchangia watu kama Liverpool VPN GENTAMYCINE. Nyie mapopoma nendeni kwenye mada zenu za Simba na Yanga huku panahitaji akili kubwa tu🤝
Jidanganye. Sema nini kila mtu aishi maisha yake afanye kile kina mpa fraha.
 
Ni wachache sana ambao tunakuelewa,
NDOA nyingi siku hz zimekuwa ni mateso sana kwa Wanaume...
Mwanamke anajiona anaweza kila kitu.
Nimekuwa kwenye NDOA kwa miaka zaid ya 10 sasa Ila mwaka Jana nikapata kazi ambayo kwa mara ya kwanza ndio naona naishi kwa AMANI..Tupo Mkoa mmoja ila toka nimeanza haya maisha ya distance naona nipo huru sana... Si kwa kufanya Mambo yasiyo na Mbele wala Nyuma la Asha!!
 
Back
Top Bottom