Kataa ndoa wanaozalisha wanawake wachukuliwe kama wahujumu uchumi

Kataa ndoa wanaozalisha wanawake wachukuliwe kama wahujumu uchumi

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Wanaume au vijana wote wanaokataa ndoa halafu wanazalisha mabinti wa watu nafikiri wachukuliwe kama zaidi ya wahujumu uchumi, hawa ni aina fulani ya waharibifu wanaotakiwa kulaaniwa, kupingwa na kukataliwa na jamii kwa ujumla.
 
kataa ndoa wapo hata wanawake, hupenda kuzaa tu ila ndoa hawataki, ndio hawa single mother
 
Mishangazi pia inapaswa kushtakiwa kwa kuvidekeza vikina Juniors kimapenzi hadi viasi uanaume wao 😏

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Mkuu kama vijsichana ni vijambazi bora vijana wapone kwa mishangazi kulinda afya yao ya akili pia🤣
 
Back
Top Bottom