Kataa ndoa wanaozalisha wanawake wachukuliwe kama wahujumu uchumi

Kataa ndoa wanaozalisha wanawake wachukuliwe kama wahujumu uchumi

Kwanini hao wanawake wanakubali kujamiiana nje ya ndoa?

Tuwafundishe wanajamii wenzetu kuweka msisitizo wa no bikira, no ndoa.

Itasuluhisha hili automatically.
 
Kwanini hao wanawake wanakubali kujamiiana nje ya ndoa?

Tuwafundishe wanajamii wenzetu kuweka msisitizo wa no bikira, no ndoa.

Itasuluhisha hili automatically.
Kataa ndoa wako tayari kutokujamiiana nje ya ndoa??
 
Miaka ya mbeleni kazi kubwa ya mwanaume itakuwa kazalisha na kusonga mbele,hakuna kuweka makao kwa kigezo cha ndoa,maana kwenye ndoa hakuna la maana zaidi huko mpaka mtu ujifungie na huyo huyo mmoja.
 
Wanaume au vijana wote wanaokataa ndoa halafu wanazalisha mabinti wa watu nafikiri wachukuliwe kama zaidi ya wahujumu uchumi, hawa ni aina fulani ya waharibifu wanaotakiwa kulaaniwa, kupingwa na kukataliwa na jamii kwa ujumla.
Hao ni wahuni, wanakula gizani halafu wanafuta mdomo kwa vumbi, halafu watembee kifua mbele kukataa ndoa, wakomae kupanda mnazi na hela wawe nazo, maana wanasema wanawake wanafirisi huku maisha yao yenyewe ni pangu pakavu
 
Kwanini hao wanawake wanakubali kujamiiana nje ya ndoa?

Tuwafundishe wanajamii wenzetu kuweka msisitizo wa no bikira, no ndoa.

Itasuluhisha hili automatically.
Kujamiiana ni hitaji muhimu la viumbe hai wenye jinsia za kujamiiana.
 
Back
Top Bottom