The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Si kweli. Kama wao wana uhuru wa kutangaza utopolo wao, kwanini nasi tusihami tukipendacho? Nashukuru imekuingia uzuri mwanangu.wewe ndiyo muhuni na mshamba, kila mtu ana uhuru wa kuchagua na kuamua lililo sahihi kwake.
Sasa why ulazimishe au kukejeli watu kisa wame chagua waki pendacho?
Vipi una taka upende masela wenzio arifu?Upumbavu namba moja ni kumpenda mtu mwingine wa Jinsia ya Kike, yaani Bonge la