KATABIA KABAYA KANACHONICHUKIZA MBELE YA JAMII.

mndemeimran

Senior Member
Joined
May 7, 2017
Posts
112
Reaction score
74
MndemeImran✍🏿

Awali ya yote naomba kutoa pole zangu kwa Ndgu, jamaa, marafik na wafiwa wote wa Ajali ya Mv. Nyerere.. Taifa kwa ujumla tunaombeleza kwa uchungu msiba huu mzito uliotukuta watanzania... Inalillah wainarllah rajuun( Hakika sote ni wa mwenyez mungu na kwake tutarejea)

Allah awafanyie wepes waliotangulia mbele za haki awafanyie msamaha au kuwapunguzia adhabu za kaburi (Kwa mapenz yake )..

NAAM TURUDI SASA KOH KOH[emoji16]
Katika maisha kuna changamoto nyingi saana ndugu zangu. changamoto
hzo mbalimbali huchochewa na miingiliano ya jamii za watu tofaut tofau wenye tabia hurka na malezi tofaut tofaut,

Changamoto hizo zimegawanyika katika makundi mawili bimaana Changamoto za kiasili (Natural) na za kuundwa na binadamu (ManMade),

Kwa leo na kwa Uchache sana wa maneno nataka kuzungmzia changamoto za kibanaadamu ambazo tunasema LA MKONO WAKO HALISHINDIKANI KWAKO kwa maaaana changamoto zilizojengwa kwa tabia zetu wenyewe basi hatuwezi kushindwa kuzikabili wenyewe Hahahahaa

[emoji117]🏾DENI DENI DENI MADENI
Katika hapa na pale za kutafuta na kufanikisha maisha tumekuwa tukisaidiana sana kwa kukopeshana vitu mbalimbali zikiwemo fedha Nk

Lakin kumekuwepo na baadhi ya watu wachache wa hekma na busara ambao kwa makusudi2 wameamua kujifanya hawajui nin maana yakusaidiwa na nini fadhila anazopaswa kupewa aliekusaidia mbadala wake wanaukazia na kuusimamia ule msemo wa SHUKRANI YA PUNDA MATEKE..

EMBU TUJIULIZE🤔🤔
Kuna ugumu gani wa wewe kurudisha fadhila zilizo njema kwa uliemkpa??

Unajisikiaje pale unapofanikisha mahitaj yako kwa msaada wa mkopo wa mtu na kisha unamminyia gia??

Unajisikia vepe unapopewa majib mabaya na kudhihakiwa kwa sabb ya deni?

SIKIA SASA COMRADES[emoji41][emoji41]
Maisha daima ni kusaidiana, tujifunze kuwa waungwana kuheshimiana na kuvumiliana (lakn si kwa madeni hahaha[emoji1]) Natania....

.....Kama una hela mfukoni na bado unadaiwa my friend hyo hela sio yako[emoji3][emoji3] Lipa deni la watu..

Samahanim sijamwandikia mtu[emoji3][emoji3] ni shida zang na hasira zangu2 ndo zimenituma...

Hv kwa ugumu ninaoupata wa biashara yangu ya mapanzia hlf nakukopa hela hurejeshi ndgu yang NAKUTOA MSHIPA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sijui nyie wenzang mnaichukukiaje hii tabia....Karib mdau[emoji124]‍♂[emoji124]‍♂[emoji124]‍♂[emoji124]‍♂[emoji3]
 
Kuna MTU namdai 50 elfu aisee tunakoelekea n kuvunja urafik kabisa maana kila nikimwambia ajiongeze ananipiga swagga tu.....hovyo kabisa
 
Pole sana mkuu. Hii tabia ni mbaya sana.

Ila fahamu Unapokopesha usitarajie kurudishiwa.
 
Allah awafanyie wepes waliotangulia mbele za haki awafanyie msamaha au kuwapunguzia adhabu za kaburi (Kwa mapenz yake )..
Hizi sentese za kupunguziwa adhabu za kaburi, mnakuwa mna maana gani mnao ongea hivi? je ni imagination? suggestion? ushauri? ombi? na je mnauhakika kuwa mnasikilizwa kwa hizi sentesi? nafikiri tuache imagination! ishi na watu vizuri na ishi ukimpendeza Mungu" sijui Mungu apunguze na aongeze! Mungu si mjomba wala babu! akisema A. ni A.! na Akisema ni B. basi ni B. amesha tuambia baada ya kifo ni hukumu, na roho itendayo dhambi, sehemu yake ni katika lile ziwa la moto! sasa izo imagination tunatoa wapi! TUFUATE SHERIA TUKIWA BADO ANGALI HAI!
 
Naomba ukamkopeshe tena ili alipe deni la nyuma, fanya hivo mara kwa mara, na utapata marejesho yako yote
 
Allah awafanyie wepes waliotangulia mbele za haki awafanyie msamaha au kuwapunguzia adhabu za kaburi (Kwa mapenz yake )..
Hizi sentese za kupunguziwa adhabu za kaburi, mnakuwa mna maana gani mnao ongea hivi? je ni imagination? suggestion? ushauri? ombi? na je mnauhakika kuwa mnasikilizwa kwa hizi sentesi? nafikiri tuache imagination! ishi na watu vizuri na ishi ukimpendeza Mungu" sijui Mungu apunguze na aongeze! Mungu si mjomba wala babu! akisema A. ni A.! na Akisema ni B. basi ni B. amesha tuambia baada ya kifo ni hukumu, na roho itendayo dhambi, sehemu yake ni katika lile ziwa la moto! sasa izo imagination tunatoa wapi! TUFUATE SHERIA TUKIWA BADO ANGALI HAI!
Unatumia bible kupinga qur-an [emoji1] [emoji1] kilaza kweli
 
MndemeImran[emoji1621]

Awali ya yote naomba kutoa pole zangu kwa Ndgu, jamaa, marafik na wafiwa wote wa Ajali ya Mv. Nyerere.. Taifa kwa ujumla tunaombeleza kwa uchungu msiba huu mzito uliotukuta watanzania... Inalillah wainarllah rajuun( Hakika sote ni wa mwenyez mungu na kwake tutarejea)

Allah awafanyie wepes waliotangulia mbele za haki awafanyie msamaha au kuwapunguzia adhabu za kaburi (Kwa mapenz yake )..

NAAM TURUDI SASA KOH KOH[emoji16]
Katika maisha kuna changamoto nyingi saana ndugu zangu. changamoto
hzo mbalimbali huchochewa na miingiliano ya jamii za watu tofaut tofau wenye tabia hurka na malezi tofaut tofaut,

Changamoto hizo zimegawanyika katika makundi mawili bimaana Changamoto za kiasili (Natural) na za kuundwa na binadamu (ManMade),

Kwa leo na kwa Uchache sana wa maneno nataka kuzungmzia changamoto za kibanaadamu ambazo tunasema LA MKONO WAKO HALISHINDIKANI KWAKO kwa maaaana changamoto zilizojengwa kwa tabia zetu wenyewe basi hatuwezi kushindwa kuzikabili wenyewe Hahahahaa

[emoji117]🏾DENI DENI DENI MADENI
Katika hapa na pale za kutafuta na kufanikisha maisha tumekuwa tukisaidiana sana kwa kukopeshana vitu mbalimbali zikiwemo fedha Nk

Lakin kumekuwepo na baadhi ya watu wachache wa hekma na busara ambao kwa makusudi2 wameamua kujifanya hawajui nin maana yakusaidiwa na nini fadhila anazopaswa kupewa aliekusaidia mbadala wake wanaukazia na kuusimamia ule msemo wa SHUKRANI YA PUNDA MATEKE..

EMBU TUJIULIZE[emoji848][emoji848]
Kuna ugumu gani wa wewe kurudisha fadhila zilizo njema kwa uliemkpa??

Unajisikiaje pale unapofanikisha mahitaj yako kwa msaada wa mkopo wa mtu na kisha unamminyia gia??

Unajisikia vepe unapopewa majib mabaya na kudhihakiwa kwa sabb ya deni?

SIKIA SASA COMRADES[emoji41][emoji41]
Maisha daima ni kusaidiana, tujifunze kuwa waungwana kuheshimiana na kuvumiliana (lakn si kwa madeni hahaha[emoji1]) Natania....

.....Kama una hela mfukoni na bado unadaiwa my friend hyo hela sio yako[emoji3][emoji3] Lipa deni la watu..

Samahanim sijamwandikia mtu[emoji3][emoji3] ni shida zang na hasira zangu2 ndo zimenituma...

Hv kwa ugumu ninaoupata wa biashara yangu ya mapanzia hlf nakukopa hela hurejeshi ndgu yang NAKUTOA MSHIPA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sijui nyie wenzang mnaichukukiaje hii tabia....Karib mdau[emoji124]‍♂[emoji124]‍♂[emoji124]‍♂[emoji124]‍♂[emoji3]
Dah...buku2 tu ndiyo unianzishie uzi braza?...dah[emoji15]
 
mie kuna bwana nilimkopa laki 8 akanizungusha balaa,msimu juzi akalima mpunga akapata gunia za kutosha katika stori akanambia ana amini kilimo kitamtoa na mwaka jana alitaka alime zaidi

basi nikamuonesha mbuga ya familia akaipenda nikamwambia ntamuuzia m1 kwa heka akakubali

Basi nikamwambia anipe gunia 16 (@50,000) alafu aniongeze laki 200,000 cash. jamaa akasombelea gunia 16 kwa ahadi ya kesho kunipa laki 2 tukaandikishane

zilipo timia, nikamwambia siuzi shamba mie zile gunia 16 zilikuwa kulipa laki 8 yangu hadi leo jamaa yuko moto na mimi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akizid kuwa moto ww kuwa kuni2
 
Back
Top Bottom