mndemeimran
Senior Member
- May 7, 2017
- 112
- 74
MndemeImran✍🏿
Awali ya yote naomba kutoa pole zangu kwa Ndgu, jamaa, marafik na wafiwa wote wa Ajali ya Mv. Nyerere.. Taifa kwa ujumla tunaombeleza kwa uchungu msiba huu mzito uliotukuta watanzania... Inalillah wainarllah rajuun( Hakika sote ni wa mwenyez mungu na kwake tutarejea)
Allah awafanyie wepes waliotangulia mbele za haki awafanyie msamaha au kuwapunguzia adhabu za kaburi (Kwa mapenz yake )..
NAAM TURUDI SASA KOH KOH[emoji16]
Katika maisha kuna changamoto nyingi saana ndugu zangu. changamoto
hzo mbalimbali huchochewa na miingiliano ya jamii za watu tofaut tofau wenye tabia hurka na malezi tofaut tofaut,
Changamoto hizo zimegawanyika katika makundi mawili bimaana Changamoto za kiasili (Natural) na za kuundwa na binadamu (ManMade),
Kwa leo na kwa Uchache sana wa maneno nataka kuzungmzia changamoto za kibanaadamu ambazo tunasema LA MKONO WAKO HALISHINDIKANI KWAKO kwa maaaana changamoto zilizojengwa kwa tabia zetu wenyewe basi hatuwezi kushindwa kuzikabili wenyewe Hahahahaa
[emoji117]🏾DENI DENI DENI MADENI
Katika hapa na pale za kutafuta na kufanikisha maisha tumekuwa tukisaidiana sana kwa kukopeshana vitu mbalimbali zikiwemo fedha Nk
Lakin kumekuwepo na baadhi ya watu wachache wa hekma na busara ambao kwa makusudi2 wameamua kujifanya hawajui nin maana yakusaidiwa na nini fadhila anazopaswa kupewa aliekusaidia mbadala wake wanaukazia na kuusimamia ule msemo wa SHUKRANI YA PUNDA MATEKE..
EMBU TUJIULIZE🤔🤔
Kuna ugumu gani wa wewe kurudisha fadhila zilizo njema kwa uliemkpa??
Unajisikiaje pale unapofanikisha mahitaj yako kwa msaada wa mkopo wa mtu na kisha unamminyia gia??
Unajisikia vepe unapopewa majib mabaya na kudhihakiwa kwa sabb ya deni?
SIKIA SASA COMRADES[emoji41][emoji41]
Maisha daima ni kusaidiana, tujifunze kuwa waungwana kuheshimiana na kuvumiliana (lakn si kwa madeni hahaha[emoji1]) Natania....
.....Kama una hela mfukoni na bado unadaiwa my friend hyo hela sio yako[emoji3][emoji3] Lipa deni la watu..
Samahanim sijamwandikia mtu[emoji3][emoji3] ni shida zang na hasira zangu2 ndo zimenituma...
Hv kwa ugumu ninaoupata wa biashara yangu ya mapanzia hlf nakukopa hela hurejeshi ndgu yang NAKUTOA MSHIPA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui nyie wenzang mnaichukukiaje hii tabia....Karib mdau[emoji124]♂[emoji124]♂[emoji124]♂[emoji124]♂[emoji3]