Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Tokea enzi za makapa mpaka leo chama kinakwepa katiba mpya, they will not deliver that. Record inaonyesha wapinzan ndio wamekuwa wakitia presha ila mwisho wasiku ccm wanaweka mpira kwapaniWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Ajenda ya Katiba Mpya sio Ajenda ya Wapinzani bali ni ajenda ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyoanza tangu Awamu ya Nne chini ya Uongozi wa Rais wa Awamu ya Nne, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambapo Rais wa Awamu ya Sita, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka wazi nia ya kuleta Katiba Mpya na ndio maana Ajenda hiyo ipo katika Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Ameyasema hayo Kijiji cha Kangagani, Kaskazini Pemba wakati akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Amali inayojengwa kwa Shilingi Bilioni 4.
Kwamba huyo katambi aliyefel law school na kuogopa kwenda kufanya sup zake naye anapaswa kujadiliwa hapa, huyo ni mshenzi ndio maana hata hapa shinyanga haelewani na wadogo zake Kwa upumbavu wake halafu machawa mnamsikilizaWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Ajenda ya Katiba Mpya sio Ajenda ya Wapinzani bali ni ajenda ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyoanza tangu Awamu ya Nne chini ya Uongozi wa Rais wa Awamu ya Nne, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambapo Rais wa Awamu ya Sita, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka wazi nia ya kuleta Katiba Mpya na ndio maana Ajenda hiyo ipo katika Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Ameyasema hayo Kijiji cha Kangagani, Kaskazini Pemba wakati akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Amali inayojengwa kwa Shilingi Bilioni 4.
Awamu hii lazima wataileta watake wasitake tofauti na hapo 2030 wajiandae kuondolewa Kwa nguvu ya umma kupitia maandamano makali.Tokea enzi za makapa mpaka leo chama kinakwepa katiba mpya, they will not deliver that. Record inaonyesha wapinzan ndio wamekuwa wakitia presha ila mwisho wasiku ccm wanaweka mpira kwapani
KilazaKwamba huyo katambi aliyefel law school na kuogopa kwenda kufanya sup zake naye anapaswa kujadiliwa hapa, huyo ni mshenzi ndio maana hata hapa shinyanga hawelewani na wadogo zake Kwa upumbavu wake halafu machawa mnamsikiliza
Awamu hii lazima wataileta watake wasitake tofauti na hapo 2030 wajiandae kuondolewa Kwa nguvu ya umma kupitia maandamano makali.
Tume ya Jaji Nyalali enzi za Mwinyi kwenye ripoti ya tume ukurasa wa 142 inaongelea mabadiliko ya katiba.Tokea enzi za makapa mpaka leo chama kinakwepa katiba mpya, they will not deliver that. Record inaonyesha wapinzan ndio wamekuwa wakitia presha ila mwisho wasiku ccm wanaweka mpira kwapani
Tatizo la kutojua dhamana ya cheo alichonacho.Mambo ya kusemwa na Katibu wa itikadi na uenezi wa chama au katibu mkuu yanasemwa na waziri.Ukishakuwa waziri ni waziri wa wote, je wapinzani nao wanahitaji waziri wao kwa kuwa watajisikia hawapo salama mikononi mwake.Kuna haja ya viongozi kupelekwa training ili wajue kuwa kuna vyeo havina chama na hivyo unahitaji kuwatumikia watu wote bila kujali mlango ulioingiliaWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Ajenda ya Katiba Mpya sio Ajenda ya Wapinzani bali ni ajenda ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyoanza tangu Awamu ya Nne chini ya Uongozi wa Rais wa Awamu ya Nne, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambapo Rais wa Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka wazi nia ya kuleta Katiba Mpya na ndio maana Ajenda hiyo ipo katika Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
"Ajenda ya Katiba mpya sio ajenda ya wapinzani, ni ajenda ya Chama cha Mapinduzi kuanzia Awamu ya Nne ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Awamu ya Sita ya Samia Suluhu Hassan. Na tayari ameweka kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, alishatoa ahadi, na tayari mchakato umeshaanza na unaendelea. Kwa hiyo sio ajenda ya wapinzani. Wapigieni makofi sana kwa aibu, makofi hayo yawafikie kwa aibu... ni makofi ya aibu."
"Kwa hiyo ajenda hii sio mpya, wala jambo la kusema kwamba Katiba mpya... Mtakumbuka katika Awamu ya Nne ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwa nia njema serikali itenga fedha, ikatenga fedha, wabunge maalum wakateuliwa."
Ameyasema hayo Kijiji cha Kangagani, Kaskazini Pemba wakati akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Amali inayojengwa kwa Shilingi
Ila Katambi ni very hopeless, very hopeless.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Ajenda ya Katiba Mpya sio Ajenda ya Wapinzani bali ni ajenda ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyoanza tangu Awamu ya Nne chini ya Uongozi wa Rais wa Awamu ya Nne, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambapo Rais wa Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka wazi nia ya kuleta Katiba Mpya na ndio maana Ajenda hiyo ipo katika Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
"Ajenda ya Katiba mpya sio ajenda ya wapinzani, ni ajenda ya Chama cha Mapinduzi kuanzia Awamu ya Nne ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Awamu ya Sita ya Samia Suluhu Hassan. Na tayari ameweka kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, alishatoa ahadi, na tayari mchakato umeshaanza na unaendelea. Kwa hiyo sio ajenda ya wapinzani. Wapigieni makofi sana kwa aibu, makofi hayo yawafikie kwa aibu... ni makofi ya aibu."
"Kwa hiyo ajenda hii sio mpya, wala jambo la kusema kwamba Katiba mpya... Mtakumbuka katika Awamu ya Nne ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwa nia njema serikali itenga fedha, ikatenga fedha, wabunge maalum wakateuliwa."
Ameyasema hayo Kijiji cha Kangagani, Kaskazini Pemba wakati akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Amali inayojengwa kwa Shilingi Bilioni 4.
Unaona kabisa tatizo la umeme kichwani lilivyo kubwa serikalini.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Ajenda ya Katiba Mpya sio Ajenda ya Wapinzani bali ni ajenda ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyoanza tangu Awamu ya Nne chini ya Uongozi wa Rais wa Awamu ya Nne, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambapo Rais wa Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka wazi nia ya kuleta Katiba Mpya na ndio maana Ajenda hiyo ipo katika Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.