Washamba sana CCMAnaona aibu kusema kuwa hayo madai ni nguvu ya upinzani. Hataki ionekane kuwa wamezidiwa nguvu kwenye hilo, bali anataka watu wasidiki ccm ndio wametaka hiyo katiba.
Naomba msaada. Skuli ya Amali ni ''primary, secondary, college au University''?Ameyasema hayo Kijiji cha Kangagani, Kaskazini Pemba wakati akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Amali inayojengwa kwa Shilingi Bilioni 4.
Katoto hako katajua nini kama hata kupiga mswaki meno yake machafu kameanza mwaka 2025?Tume ya Jaji Nyalali enzi za Mwinyi kwenye ripoti ya tume ukurasa wa 142 inaongelea mabadiliko ya katiba.
Kama hajui wananchi wameanza lini kudai mabadiliko ya katiba na marais walio ziunda hizo tume wameyapinga madai ya wananchi "Katumbili' kanyamaze.
Kijana mjinga sanaWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Ajenda ya Katiba Mpya sio Ajenda ya Wapinzani bali ni ajenda ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyoanza tangu Awamu ya Nne chini ya Uongozi wa Rais wa Awamu ya Nne, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambapo Rais wa Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka wazi nia ya kuleta Katiba Mpya na ndio maana Ajenda hiyo ipo katika Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
"Ajenda ya Katiba mpya sio ajenda ya wapinzani, ni ajenda ya Chama cha Mapinduzi kuanzia Awamu ya Nne ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Awamu ya Sita ya Samia Suluhu Hassan. Na tayari ameweka kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, alishatoa ahadi, na tayari mchakato umeshaanza na unaendelea. Kwa hiyo sio ajenda ya wapinzani. Wapigieni makofi sana kwa aibu, makofi hayo yawafikie kwa aibu... ni makofi ya aibu."
"Kwa hiyo ajenda hii sio mpya, wala jambo la kusema kwamba Katiba mpya... Mtakumbuka katika Awamu ya Nne ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwa nia njema serikali itenga fedha, ikatenga fedha, wabunge maalum wakateuliwa."
Ameyasema hayo Kijiji cha Kangagani, Kaskazini Pemba wakati akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Amali inayojengwa kwa Shilingi Bilioni 4.
Jikite kwenye majukumu yaliyo kwenye portfolio ya kazi yako. Kila kukicha uko kwenye majukwaa unapambana na upinzani. Kama vipi nenda UVCCM. Dogo unachemka sanaWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Ajenda ya Katiba Mpya sio Ajenda ya Wapinzani bali ni ajenda ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyoanza tangu Awamu ya Nne chini ya Uongozi wa Rais wa Awamu ya Nne, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambapo Rais wa Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka wazi nia ya kuleta Katiba Mpya na ndio maana Ajenda hiyo ipo katika Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
"Ajenda ya Katiba mpya sio ajenda ya wapinzani, ni ajenda ya Chama cha Mapinduzi kuanzia Awamu ya Nne ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Awamu ya Sita ya Samia Suluhu Hassan. Na tayari ameweka kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, alishatoa ahadi, na tayari mchakato umeshaanza na unaendelea. Kwa hiyo sio ajenda ya wapinzani. Wapigieni makofi sana kwa aibu, makofi hayo yawafikie kwa aibu... ni makofi ya aibu."
"Kwa hiyo ajenda hii sio mpya, wala jambo la kusema kwamba Katiba mpya... Mtakumbuka katika Awamu ya Nne ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwa nia njema serikali itenga fedha, ikatenga fedha, wabunge maalum wakateuliwa."
Ameyasema hayo Kijiji cha Kangagani, Kaskazini Pemba wakati akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Amali inayojengwa kwa Shilingi Bilioni 4.
Mbona comrade makonda na Ridhiwani wanapinga katiba!!?Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Ajenda ya Katiba Mpya sio Ajenda ya Wapinzani bali ni ajenda ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyoanza tangu Awamu ya Nne chini ya Uongozi wa Rais wa Awamu ya Nne, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambapo Rais wa Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka wazi nia ya kuleta Katiba Mpya na ndio maana Ajenda hiyo ipo katika Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
"Ajenda ya Katiba mpya sio ajenda ya wapinzani, ni ajenda ya Chama cha Mapinduzi kuanzia Awamu ya Nne ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Awamu ya Sita ya Samia Suluhu Hassan. Na tayari ameweka kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, alishatoa ahadi, na tayari mchakato umeshaanza na unaendelea. Kwa hiyo sio ajenda ya wapinzani. Wapigieni makofi sana kwa aibu, makofi hayo yawafikie kwa aibu... ni makofi ya aibu."
"Kwa hiyo ajenda hii sio mpya, wala jambo la kusema kwamba Katiba mpya... Mtakumbuka katika Awamu ya Nne ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwa nia njema serikali itenga fedha, ikatenga fedha, wabunge maalum wakateuliwa."
Ameyasema hayo Kijiji cha Kangagani, Kaskazini Pemba wakati akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Amali inayojengwa kwa Shilingi Bilioni 4.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Ajenda ya Katiba Mpya sio Ajenda ya Wapinzani bali ni ajenda ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyoanza tangu Awamu ya Nne chini ya Uongozi wa Rais wa Awamu ya Nne, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambapo Rais wa Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka wazi nia ya kuleta Katiba Mpya na ndio maana Ajenda hiyo ipo katika Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
"Ajenda ya Katiba mpya sio ajenda ya wapinzani, ni ajenda ya Chama cha Mapinduzi kuanzia Awamu ya Nne ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Awamu ya Sita ya Samia Suluhu Hassan. Na tayari ameweka kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, alishatoa ahadi, na tayari mchakato umeshaanza na unaendelea. Kwa hiyo sio ajenda ya wapinzani. Wapigieni makofi sana kwa aibu, makofi hayo yawafikie kwa aibu... ni makofi ya aibu."
"Kwa hiyo ajenda hii sio mpya, wala jambo la kusema kwamba Katiba mpya... Mtakumbuka katika Awamu ya Nne ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwa nia njema serikali itenga fedha, ikatenga fedha, wabunge maalum wakateuliwa."
Ameyasema hayo Kijiji cha Kangagani, Kaskazini Pemba wakati akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Amali inayojengwa kwa Shilingi Bilioni 4.
Wanajua fika kwamba kwa hisani ya katiba hii ndio maana wapo hapo walipo na ikija kutolewa ndio utakuwa mwisho wao.Mbona comrade makonda na Ridhiwani wanapinga katiba!!?
Au wanambishia Mzee kikwete alieianzisha mchakati wake!!?
Ushamba kazi kweli kweli eti katiba mpya ilianza wakati wa kikukwe vipi zile tume za akina Kisanga, Nyarari na nyinginezo na Je Kikwete shinikizo alilipata toka wapi???Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Ajenda ya Katiba Mpya sio Ajenda ya Wapinzani bali ni ajenda ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyoanza tangu Awamu ya Nne chini ya Uongozi wa Rais wa Awamu ya Nne, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambapo Rais wa Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka wazi nia ya kuleta Katiba Mpya na ndio maana Ajenda hiyo ipo katika Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.