Katambi: Ajenda ya katiba mpya sio ya wapinzani ilianza tangu Awamu ya Nne chini Kikwete

Anaona aibu kusema kuwa hayo madai ni nguvu ya upinzani. Hataki ionekane kuwa wamezidiwa nguvu kwenye hilo, bali anataka watu wasidiki ccm ndio wametaka hiyo katiba.
 
Tunakasubiri kakipigwa chini. Sijuwi katakimbilia wqpi!
 
Kwa ninachokumbuka dai la Katiba limepata msukuomo mkubwa kutoka kwenye maeneo yafuatayo
  1. Vyama vya upinzani
  2. Wanaharakati wa haki za Binadamu
  3. Asasi za kiraia
  4. Wasomi
Tangu mwaka 1992 vyama vya upinzani vilikuwa na dai Katiba iliundwa wakati wa chama kimoja na inampa Rais madaraka makubwa mno wakati huo Chama tawala kimekuwa kikipinga madai hayo na kudai Katiba ya mwaka 1977 inajitosheleza lakini bado yamefanyika marekebesho madogo mara 14

Katika jambo la kupigiwa mfano ni mabadiliko makubwa baada ya uchaguzi wa awamu ya pili mwaka 2010 yaliyosukuma mchakato wa Katiba mpya . Hata hivyo kufikia mwaka 2014 mvutano mkubwa uliozaa "UKAWA" ulijikita kwenye idadi ya Serikali ambapo wapo waliotaka mbili na waliotaka tatu, hapa ndipo palikwamisha sana zoezi hilo.
 
Kwahiyo awamu ya Kikwete hapakuwa na Upinzani?!
 
Anaona aibu kusema kuwa hayo madai ni nguvu ya upinzani. Hataki ionekane kuwa wamezidiwa nguvu kwenye hilo, bali anataka watu wasidiki ccm ndio wametaka hiyo katiba.
Washamba sana CCM
 
Ameyasema hayo Kijiji cha Kangagani, Kaskazini Pemba wakati akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Amali inayojengwa kwa Shilingi Bilioni 4.
Naomba msaada. Skuli ya Amali ni ''primary, secondary, college au University''?
 
Katoto hako katajua nini kama hata kupiga mswaki meno yake machafu kameanza mwaka 2025?
 
Kijana mjinga sana
 
Jikite kwenye majukumu yaliyo kwenye portfolio ya kazi yako. Kila kukicha uko kwenye majukwaa unapambana na upinzani. Kama vipi nenda UVCCM. Dogo unachemka sana
 
Mbona comrade makonda na Ridhiwani wanapinga katiba!!?

Au wanambishia Mzee kikwete alieianzisha mchakati wake!!?
 

Hivi hawa viongozi waongo waongo CCM huwa inawapataptaje .... sasa kama ni agenda yao na walianza nayo toka awamu ya Kikwete .... sasa wanataka waendelee nayo mpaka lini? Kikwete alikuwa madarakani toka 2005 na alianza na hiyo kitu 2012. Saa ni miaka karibia 15. No wnder nchi haiendi popote.
 
Have you ever heard of a rubbish for a trashcan, here is a proof of it.
 
Mbona comrade makonda na Ridhiwani wanapinga katiba!!?

Au wanambishia Mzee kikwete alieianzisha mchakati wake!!?
Wanajua fika kwamba kwa hisani ya katiba hii ndio maana wapo hapo walipo na ikija kutolewa ndio utakuwa mwisho wao.
 
KATIBA SI MALI YA WACHACHE, Bali ni msingi wa Namna Haki, madaraka, mamlaka na Mstakabari wa taifa utakavyosimamiwa.

Katika jambo nitakalolishauri kwa nguvu zangu zote ni kuondoa kabisa Mabadiriko ya katiba mikononi mwa Sera za vyama vya siasa maana inachukuliwa kana kwamba wao ndio watakuwa juu ya mchakayo wenyewe.

Pia napendekeza Fasimu ya katiba iliyopo kqenye tovuti ya www.katibampya.com kwa sababu ina muundo wa dola lenye mibimili minne ya kitaifa, Yaani.
1. Baraza la usimamizi wa taifa
2. Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania
3. Bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania
4. Mahakama ya jamhuri ya muungano wa tanzania.

Tembelea tovuti tajwa kupakua rasimu hiyo na kuisoma.
 
Ushamba kazi kweli kweli eti katiba mpya ilianza wakati wa kikukwe vipi zile tume za akina Kisanga, Nyarari na nyinginezo na Je Kikwete shinikizo alilipata toka wapi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…