Akiwa Shinyanga juzi Katambi alisikika akisema, wanaotishia kumpeleka Mahakamani ni wapinga maendeleo watashughulikiwa.
Awali alisema hatishiki na watu wanaopanga kumpeleka mahakamani kwa vile anatekeleza sheria za nchi, akasema "Tukutane Mahakamani".
Asitumie mikutano ya kisiasa kuwatisha watu walioamua kwenda mahakamani kutafuta tafsiri ya kisheria, yeye aandae hoja ya kujibu mahakamani.
Soma pia Katambi: Wapinga Maendeleo wananitishia kuniburuza Mahakamani, kuna Mzee anaenda kunishtaki
===============
Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC na mwanasiasa maarufu Willbrod Slaa wamefungua kesi ya Kikatiba dhidi ya Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi na wenzake sita kwa kitendo chake cha kuzuia mikutano ya kisiasa.
Soma LHRC, TLS, Dk. Slaa wamfungulia Kesi ya Kikatiba Waziri Katambi kupinga amri ya kuzuia Mikutano ya Hadhara ya Kisiasa