Huyu jamaa kichwani kwake kumejaa MAVI, sijaona waziri wa ovyo kama huyu na huyo Mwigulu NchembaAngalia meno yake na akili zake zina fananaView attachment 3634057
Meno kama kasongo poriAngalia meno yake na akili zake zina fananaView attachment 3634057
Nini kimetokea?Akiwa Shinyanga juzi Katambi alisikika akisema, wanaotishia kumpeleka Mahakamani ni wapinga maendeleo watashughulikiwa.
Awali alisema hatishiki na watu wanaopanga kumpeleka mahakamani kwa kitendo chake cha kuzuia mikutano ya kisiasa, akasema "Tukutane Mahakamani".
Asitumie mikutano ya kisiasa kuwatisha watu walioamua kwenda mahakamani kutafuta tafsiri ya kisheria, yeye aandae hoja ya kujibu mahakamani.
===============
Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC na mwanasiasa maarufu Willbrod Slaa wamefungua kesi ya Kikatiba dhidi ya Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi na wenzake sita.
Ameanza kutoa milio eti wanampeleka mahakamani kwani kaiba nini anasema hajawahi kuiba hata kapu la bamia.Nini kimetokea?
Unique dental formula. Huyu hajawai kula nyama za watu kweliAngalia meno yake na akili zake zina fananaView attachment 3634057
Hapa kuna uwezekano ni alivyokua HR wa Sahara media kina star Tv mishahara hakuna mpaka ubongo ulikua umepauka, leo hii amesahau alipotoka, kisa tu mamlaka ya kidunia.Angalia meno yake na akili zake zina fananaView attachment 3634057
Wanaacha kufanya kazi,kuitwa kujitetea,watu wanataka Haki!Akiwa Shinyanga juzi Katambi alisikika akisema, wanaotishia kumpeleka Mahakamani ni wapinga maendeleo watashughulikiwa.
Awali alisema hatishiki na watu wanaopanga kumpeleka mahakamani kwa vile anatekeleza sheria za nchi, akasema "Tukutane Mahakamani".
Asitumie mikutano ya kisiasa kuwatisha watu walioamua kwenda mahakamani kutafuta tafsiri ya kisheria, yeye aandae hoja ya kujibu mahakamani.
Soma pia Katambi: Wapinga Maendeleo wananitishia kuniburuza Mahakamani, kuna Mzee anaenda kunishtaki
===============
Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC na mwanasiasa maarufu Willbrod Slaa wamefungua kesi ya Kikatiba dhidi ya Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi na wenzake sita kwa kitendo chake cha kuzuia mikutano ya kisiasa.
Soma LHRC, TLS, Dk. Slaa wamfungulia Kesi ya Kikatiba Waziri Katambi kupinga amri ya kuzuia Mikutano ya Hadhara ya Kisiasa
Uuuuiii! Imekuwa Watashughulikiwa tena?Akiwa Shinyanga juzi Katambi alisikika akisema, wanaotishia kumpeleka Mahakamani ni wapinga maendeleo watashughulikiwa.
Awali alisema hatishiki na watu wanaopanga kumpeleka mahakamani kwa vile anatekeleza sheria za nchi, akasema "Tukutane Mahakamani".
Asitumie mikutano ya kisiasa kuwatisha watu walioamua kwenda mahakamani kutafuta tafsiri ya kisheria, yeye aandae hoja ya kujibu mahakamani.
Soma pia Katambi: Wapinga Maendeleo wananitishia kuniburuza Mahakamani, kuna Mzee anaenda kunishtaki
===============
Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC na mwanasiasa maarufu Willbrod Slaa wamefungua kesi ya Kikatiba dhidi ya Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi na wenzake sita kwa kitendo chake cha kuzuia mikutano ya kisiasa.
Soma LHRC, TLS, Dk. Slaa wamfungulia Kesi ya Kikatiba Waziri Katambi kupinga amri ya kuzuia Mikutano ya Hadhara ya Kisiasa
Amepekwa Mahalamani Amwagiwe Maji Ya Moto ApasukeDaaah uyo ni chawa sugu hasa.
Kazi ni kipimo cha utu
Yeye akazane na BBL za mchepuko wake ,mambo ya nchi hayawezi.Akiwa Shinyanga juzi Katambi alisikika akisema, wanaotishia kumpeleka Mahakamani ni wapinga maendeleo watashughulikiwa.
Awali alisema hatishiki na watu wanaopanga kumpeleka mahakamani kwa vile anatekeleza sheria za nchi, akasema "Tukutane Mahakamani".
Asitumie mikutano ya kisiasa kuwatisha watu walioamua kwenda mahakamani kutafuta tafsiri ya kisheria, yeye aandae hoja ya kujibu mahakamani.
Soma pia Katambi: Wapinga Maendeleo wananitishia kuniburuza Mahakamani, kuna Mzee anaenda kunishtaki
===============
Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC na mwanasiasa maarufu Willbrod Slaa wamefungua kesi ya Kikatiba dhidi ya Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi na wenzake sita kwa kitendo chake cha kuzuia mikutano ya kisiasa.
Soma LHRC, TLS, Dk. Slaa wamfungulia Kesi ya Kikatiba Waziri Katambi kupinga amri ya kuzuia Mikutano ya Hadhara ya Kisiasa
Mzee wa vinukta