Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi wakati akifanya mahojiano na UTV Julai 1, 2026, amesema maandamano yoyote yanapaswa kufuata taratibu za kisheria ili yarasimishwe na kuwekwa katika mazingira salama.
Akijibu swali kuhusiana na kifungu cha sheria katika Katiba inayompa Waziri wa Mambo ya Ndani Mamlaka ya kutoa kauli ya kusimamsisha Mikutano ya vyama vya siasa, amesema "Sasa, mamlaka ukimuuliza ya waziri, ni ya kikatiba na ya sheria ya Police Force and Auxiliary Services."
"Tunazo sheria nchi hii, 438, Sasa katika sheria zote hizo, sheria haisomwi katika isolation. Kwamba katiba hii tu ukiisoma ndio imeishia hapo, hii sio msahafu wala biblia. Inatoa masharti ya ku-refer kwenye sheria nyingine ambazo zinatoa utaratibu wa utekelezaji wa sheria, mamlaka, na wajibu wa utekelezaji wa sheria.
Na ndio maana nasema, hii ni concept ambayo mwisho wa siku, kama ambaye anaona kwamba mimi sina mamlaka hayo, aendelee na lile jukumu basi, alafu tutakutana sasa kwenye sheria ili itekeleze kwa sababu sitaki kutoa sitaki hapa na I can tell you the provision na kila kitu na procedure. Lakini sitaki kusema kwa faida ya hao ambao wanaona kwamba hatujafanya jambo ambalo liko sahihi. Tunao wajibu wa kulinda"-Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi.
Soma:

- Madeleka: Katambi amekosea, hana mamlaka ya kumwamrisha IGP Madeleka
- Jebra Kambole: Agizo la Waziri Katambi lipo kinyume cha Sheria
- Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote