Katambi: Ambaye anaona sina Mamlaka tutakutana kwenye sheria

Katambi: Ambaye anaona sina Mamlaka tutakutana kwenye sheria

GhfJRpEacAEgTRK.jpeg

Zwazwa
 
Gentleman,
I can not be trapped,
and I don't have your marking scheme or pocket answers,

I always answer questions as I wish and not otherwise 🐒
Kujibu usivyoulizwa na ukaona upo sawa basi ni uchizi huo.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi wakati akifanya mahojiano na UTV Julai 1, 2026, amesema maandamano yoyote yanapaswa kufuata taratibu za kisheria ili yarasimishwe na kuwekwa katika mazingira salama.

Akijibu swali kuhusiana na kifungu cha sheria katika Katiba inayompa Waziri wa Mambo ya Ndani Mamlaka ya kutoa kauli ya kusimamsisha Mikutano ya vyama vya siasa, amesema "Sasa, mamlaka ukimuuliza ya waziri, ni ya kikatiba na ya sheria ya Police Force and Auxiliary Services."

"Tunazo sheria nchi hii, 438, Sasa katika sheria zote hizo, sheria haisomwi katika isolation. Kwamba katiba hii tu ukiisoma ndio imeishia hapo, hii sio msahafu wala biblia. Inatoa masharti ya ku-refer kwenye sheria nyingine ambazo zinatoa utaratibu wa utekelezaji wa sheria, mamlaka, na wajibu wa utekelezaji wa sheria.

Na ndio maana nasema, hii ni concept ambayo mwisho wa siku, kama ambaye anaona kwamba mimi sina mamlaka hayo, aendelee na lile jukumu basi, alafu tutakutana sasa kwenye sheria ili itekeleze kwa sababu sitaki kutoa sitaki hapa na I can tell you the provision na kila kitu na procedure. Lakini sitaki kusema kwa faida ya hao ambao wanaona kwamba hatujafanya jambo ambalo liko sahihi. Tunao wajibu wa kulinda"-Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi.

Soma:
​

 
Back
Top Bottom