Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Wote hao hawawezi kunishinda, 2025 nawastaafisha wote wawili!!!2025 Katambi hawezi rudi,hawezi mshinda Masele pale Shinyanga
Tutakaa nae kijiweni tumuone anavyo jiajiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote hao hawawezi kunishinda, 2025 nawastaafisha wote wawili!!!2025 Katambi hawezi rudi,hawezi mshinda Masele pale Shinyanga
Tutakaa nae kijiweni tumuone anavyo jiajiri
May the peace of God go with you!Wote hao hawawezi kunishinda, 2025 nawastaafisha wote wawili!!!
Hawa ni wabunge asante magufuli jamaa aliangalia uwezo wao binafsi wa kumsifia na sio welediAmekosa hekima hana busara ni ajira zipi alizotoa vijana wakazikataa. Aache kujipendekeza afanyekazi.
Amen!May the peace of God go with you!
Naibu Waziri anayehusika na mambo ya Ajira sijui na Nini vile, amejitokeza na kuwalaumu vijana wenzake kuwa ni walalamishi na wanachagua Ajira! Sina tatizo na Hilo ila tatizo langu ni wapi zilipo Ajira ambazo vijana walipewa wakazigomea?
Ni ujinga na kujilisha upepo kuona au kuwadharau vijana ambao Leo hii yeye akiondoshwa hapo hatakua na Cha kufanya.
Kuna PhD holder alikua RC Morogoro, alivyotumbuliwa akaanza kulalamika kuwa family nzima inategemea yeye! Sasa huyo ni PhD holder, je hali ikoje kwa vijana? Ni kweli tuna vijana wavivu?
Kuna vijana walikua wanashinda ONLINE wanafanya kazi mbalimbali ONLINE na walikua wanalipwa vizuri tu, akatokea Mpuuzi huko huko CCM akasema hakuna kufanya malipo kwa PayPal sijui na Nini Ile. Vijana wengi Ajira zikafa.
Hawajapona vizuri akatokea kichaa mwingine akaongeza Bei ya bundle kwa 50%. Yaani wakati ulimwengu unapunguza gharama za bundle Tanzania wanaongeza gharama Kisha anatokea mwendawazimu mmoja anawalaumu vijana. Dah!
Daah... hii mentality ya ovyo sana. Ifike mahali hawa wawe waajiriwa wa wananchi kwa maana wateuliwe lakini kuwepo na muhimili wa Bunge la wananchi kuwaidhinisha.Yeye mwenyewe kaajiriwa na SSH unategemea jipya hapo?
Tudai Katiba mpya ili kudhibiti kupatikana kwa wizara na viongozi wasiojua wajibu wao kama Katambi.Huyu katambi atakuwa kati ya wale wahuni aliowasema polepole.
Wizi wa kura ukidhibitiwa hiyo ajira yake kwisha
Na meno yake ya uzige.Huyo naibu waziri na ilo lidomo lake ngoja nyakati za njaa zimfikie
Umenena vyema sana sanaDaah... hii mentality ya ovyo sana. Ifike mahali hawa wawe waajiriwa wa wananchi kwa maana wateuliwe lakini kuwepo na muhimili wa Bunge la wananchi kuwaidhinisha.
Bwana PGO ni hatari kusubiria waliovimbiwa madaraka ya kulevya watubu wenyewe! Hawawezi kutubu wakiwa na vyeo vyao... Ifike mahali tuwe na Katiba inayowapa wananchi nguvu ya kuwashurutisha wajiuzulu. Katambi ametukosea sana. Amekosa sana tena zaidi ya Job Ndugai.
Naibu Waziri anayehusika na mambo ya Ajira sijui na Nini vile, amejitokeza na kuwalaumu vijana wenzake kuwa ni walalamishi na wanachagua Ajira! Sina tatizo na Hilo ila tatizo langu ni wapi zilipo Ajira ambazo vijana walipewa wakazigomea?
Ni ujinga na kujilisha upepo kuona au kuwadharau vijana ambao Leo hii yeye akiondoshwa hapo hatakua na Cha kufanya.
Kuna PhD holder alikua RC Morogoro, alivyotumbuliwa akaanza kulalamika kuwa family nzima inategemea yeye! Sasa huyo ni PhD holder, je hali ikoje kwa vijana? Ni kweli tuna vijana wavivu?
Kuna vijana walikua wanashinda ONLINE wanafanya kazi mbalimbali ONLINE na walikua wanalipwa vizuri tu, akatokea Mpuuzi huko huko CCM akasema hakuna kufanya malipo kwa PayPal sijui na Nini Ile. Vijana wengi Ajira zikafa.
Hawajapona vizuri akatokea kichaa mwingine akaongeza Bei ya bundle kwa 50%. Yaani wakati ulimwengu unapunguza gharama za bundle Tanzania wanaongeza gharama Kisha anatokea mwendawazimu mmoja anawalaumu vijana. Dah!
AKatibiwe kwanza meno yakeAmelewa gongo ya mihogo huyo.Kichwampala kabisa!
Duh. Asubuhi yote hii unaandika upumbavu? Chadema inaingiaje sasa hapo?Acheni siasa za visasi kumuandama katambi, kisa tu aliiacha BAVICHA na kujiunga CCM.
Ukweli unaposemwa muwe mnaukubali.
Tunao vijana wengi tu mtaani ambao wanakula na kulala na hawana motive ya kutafuta shughuli za kufanya.
Team Roho Mbaya ya chadema tunawajua kazi yenu majungu tu.
Kila aliyehama chadema mnamuombea mabaya siku zote.
Mmekaa kama genge la majambazi visasi na roho mbaya zimewatawala wala hamna sifa za kuwa taasisi.
Sio kwa roho hizo,Chadema ilikusanya wahuni toka vijiweni na kujaribu kuwastaarabisha ila imeshindikana.