Katambi amepotoka, anahitaji toba

Huyu katambi atakuwa kati ya wale wahuni aliowasema polepole.
Wizi wa kura ukidhibitiwa hiyo ajira yake kwisha
 
Yeye mwenyewe kaajiriwa na SSH unategemea jipya hapo?
Daah... hii mentality ya ovyo sana. Ifike mahali hawa wawe waajiriwa wa wananchi kwa maana wateuliwe lakini kuwepo na muhimili wa Bunge la wananchi kuwaidhinisha.

Bwana PGO ni hatari kusubiria waliovimbiwa madaraka ya kulevya watubu wenyewe! Hawawezi kutubu wakiwa na vyeo vyao... Ifike mahali tuwe na Katiba inayowapa wananchi nguvu ya kuwashurutisha wajiuzulu. Katambi ametukosea sana. Amekosa sana tena zaidi ya Job Ndugai.
 
Huyu katambi atakuwa kati ya wale wahuni aliowasema polepole.
Wizi wa kura ukidhibitiwa hiyo ajira yake kwisha
Tudai Katiba mpya ili kudhibiti kupatikana kwa wizara na viongozi wasiojua wajibu wao kama Katambi.

NB: Imagine unakuwa na viongozi wa wizara ya kazi isiyofanya kazi kubuni kazi... Wapo wapo tu!
 
Anaamini bafo yupo kipindi cha matamuko cha mwenda zake

Ataungua mapema

2025 Masele anamng'oa mapema sana
 
Umenena vyema sana sana
 
Yeye anahudumiwa kila kitu bure
 
Acheni siasa za visasi kumuandama katambi, kisa tu aliiacha BAVICHA na kujiunga CCM.

Ukweli unaposemwa muwe mnaukubali.
Tunao vijana wengi tu mtaani ambao wanakula na kulala na hawana motive ya kutafuta shughuli za kufanya.

Team Roho Mbaya ya chadema tunawajua kazi yenu majungu tu.

Kila aliyehama chadema mnamuombea mabaya siku zote.

Mmekaa kama genge la majambazi visasi na roho mbaya zimewatawala wala hamna sifa za kuwa taasisi.

Sio kwa roho hizo,Chadema ilikusanya wahuni toka vijiweni na kujaribu kuwastaarabisha ila imeshindikana.
 
Duh. Asubuhi yote hii unaandika upumbavu? Chadema inaingiaje sasa hapo?
 
Mwanasiasa yeyote aliyehudumu bungeni kwa zaidi ya miaka kumi aache ubunge ajiajiri kwa sababu ameshapata msingi wa kuanzia. Uzalendo huanzia hapo kupisha wengine, na umri wa kustaafu uwe 45
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…