Katambi avunja ngome ya Upinzani Ushetu amwombea kura mgombea wa CCM Comred Emmanuel Peter Cherehani

Hamna hela acheni maneno mengi
Mohamed Said Issa amepata kura 2,391 dhidi ya 794 za mgombea wa CCM,

MaCCM akili zenu hazina akili. CCM ilishajifiaga siku nyingi sana.
PoliCCM waliiba kura ndio wamechukua nchi.
 
Mbona ACT wameshinda?
 
Mohamed Said Issa amepata kura 2,391 dhidi ya 794 za mgombea wa CCM,

MaCCM akili zenu hazina akili. CCM ilishajifiaga siku nyingi sana.
PoliCCM waliiba kura ndio wamechukua nchi.
Mbona mlisema hakuna demokrasia ?
 
Mbona mlisema hakuna demokrasia ?
MaCCM mmepima upepo muone kama chama kipo hai au la,
na kama mnashindwa na ATC=CCM B. CHADEMA mtaiweza wapi nyie, mtaiba na mtakimbia na masanduku ya kura mpaka KIAMA.
CCM ilishajifiaga siku nyingi.
 
Mkuu mimi ni Chadema ila hili la kukimbia kila Chaguzi tunaua Chama, ACT-WAZALENDO wameshatupiki tayari,
Wacha watupiku tu! Wangekuwa na ushawishi wangepata uto tukura kiduchu. Chadema ndo baba lao.
 
Ukizoea kuwa kibaraka huwezi kuacha hata uzee, eti Mtoto we Samia.Subiri teuzi za kinamama
 
Vijana wote wenye akili walishahama Chadema tumebaki wazee tu na vijana wasiojiweza,Katambi mimi namfahamu ni mtu hatari sana kwa hoja, Sisi Chadema kila uchaguzi mbiooooooduu
Unaota kwa Kisukuma
 
Huyu dogo Katambi anaushawishi sana tangu akiwa Chadema,
Ndio kiongozi wa kwanza kuachana na Chadema akiwa madarakani na ndio alifungulia watu wote kuhamia CCM kama CCM kunamtu wanapashwa kumshukuru kizazi hata kizazi ni huyu dogo
Amen
 
Katambi na Shaka mlitisha sana Ushetu tunaendelea kuwakumbuka,
 
Jamaa ameapishwa au bado?
 
WALAU PETER MMOJA ANARUDI BUNGENI

 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…