Katambi avunja ngome ya Upinzani Ushetu amwombea kura mgombea wa CCM Comred Emmanuel Peter Cherehani

MaCCM mmepima upepo muone kama chama kipo hai au la,
na kama mnashindwa na ATC=CCM B. CHADEMA mtaiweza wapi nyie, mtaiba na mtakimbia na masanduku ya kura mpaka KIAMA.
CCM ilishajifiaga siku nyingi.
Kwanini nyie msiibe hakuna Chama kama CCM-Tanzania
 
Majembe ya CCM,
 
Hili la Chadema kususia chaguzi ndogo na kushiriki uchaguzi mkuu naugana na wanaohama Chadema,

Kama mlisema mnaibiwa kura na Hayati Rais Magufuli vipi leo kwa Rais Samia nayeye amewaibia?

Chadema inajiua yenyewe tena polepole (gradually)
Ndugu,
Kwa hiyo huoni kuwa; NEC, ma DED, Policcm bado ni walewale vilevile.

 
Mbona miradi inapaa??
Miradi lazima iwepo maadamu bunge la bajeti lipo na wananchi tunalipa kodi, tangu ukoloni miradi ilikuwepo na ndiyo imetuwezesha sisi kuwa hapa tulipo japo mingi huchipua na kufa kutokana na tabia ya CCM, wizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…