Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Bongo uki trend tu we msanii.Duh,
Hivi Pipytida ni msanii au mtoa utamu??
Tena kasajiliwa na basata kama mnenguaji rasmi na analipa kodiDuh,
Hivi Pipytida naye ni msanii au afisa utamu?
Wasanii wengi wa mziki wa kizazi kipya, bongo movie, na watengeneza mahudhui wamepewa uhuru wameutumia vibaya.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobass Katambi ametoa wito maalum kwa baadhi ya Wasanii na watu maarufu mitandaoni kwa kikao maalum ambapo amesema ajenda atakazojadili nao ni za kiserikali na zitajulikana kesho.
Kuptiia taarifa aliyotoa leo Septemba 1, 2026 Katambi amewataja wasanii akiwemo Godfrey William maarufu Dudubaya, Mwanamtandao Pipytida na wasanii wengine.
Tupia kavideo Basi mkuu akiwa anaNENGUA!?Tena kasajiliwa na bakwata kama mnenguaji rasmi na analipa kodi
Asa ndo vitu tunapenda kuona au kuvisikia mkuuWasanii wengi wa mziki wa kizazi kipya, bongo movie, naa watengeneza mahudhui wamepewa uhuru wameutumia vibaya.
Siku hizi main content kwenye nyimbo nyingi za bongo flavor wasanii wanawaz atu "ngono", ma video vixen na wasanii wa kike nao washajitoa ufahamu. Lakini ipo taasisi ya BASATA hawa sijui wanafanyaga kazi gani!
Tunajikita kwenye mwamvuli wa kila mdu ana uhuru wa kuchagua na kuishi maisha yake, na mwamvuli wa wasanii wanachangia uchumi wa nchi
Bakwata?Tena kasajiliwa na bakwata kama mnenguaji rasmi na analipa kodi
Nenda Ticktock na search jina lakeTupia kavideo Basi mkuu akiwa anaNENGUA!?
πnimechapia mkuuBakwata?
Amewatumia nauli?Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobass Katambi ametoa wito maalum kwa baadhi ya Wasanii na watu maarufu mitandaoni kwa kikao maalum ambapo amesema ajenda atakazojadili nao ni za kiserikali na zitajulikana kesho.
Kuptiia taarifa aliyotoa leo Septemba 1, 2026 Katambi amewataja wasanii akiwemo Godfrey William maarufu Dudubaya, Mwanamtandao Pipytida na wasanii wengine.
Duh,
Hivi Pipytida naye ni msanii au afisa utamu?
Tena kasajiliwa na basata kama mnenguaji rasmi na analipa kodi
KIongozi ana dukuduku lake anataka kulitoa