Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema kati ya bodaboda 7,000 hadi 8,000 hupata ajali na kufikishwa katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa ajili ya matibabu.
Amesema wengi wa wanaofikishwa hospitalini hapo hawana bima wala leseni za udereva, huku takwimu zikionyesha kuwa asilimia 68 hawana leseni na asilimia 78 hawana bima.
Amesema hayo wakati akizungumza na madereva wa mabasi waliokuwa kwenye mgomo jana na leo, ambao sasa umemalizika, akiwataka madereva na wadau wote wa usafiri kuzingatia usalama barabarani.
Soma Pia: LATRA yapiga Marufuku Mawakala kukamata au kuwachomolea funguo Bodaboda na Bajaji