Bodaboda ndio ajira rahisi kwa sasa. Na wanapata ajira bila kuhangaika sana. Watu wengi tena wasio na sifa za kuendesha hizo boda wapo barabarani.
Hiyo shida ya nani? Tuumize vichwa pamoja kutengeneza ajira za population inayoendelea kukua kwa kasi. Ni kosa kubwa kudhani kila mtu ni dereva wa bodaboda