Katambi, Kombo wakutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) Duniani

DodomaTZ

Senior Member
Joined
May 20, 2022
Posts
197
Reaction score
233

​
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Balozi Mahmoud Thabit Kombo wamekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM),Amy Pope ambae ameongozana Mkurugenzi wa Kikanda wa Pembe ya Afrika Mashariki na Afrika Kusini,Frantz Celestin na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji(IOM) katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Ashraf Hassan na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji(IOM),Mohammedali Abunajela.

​

Ujumbe wa Tanzania pia umewakilishwa na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar,Hassan Ali Hassan,Mwakilishi wa Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Kamishna wa Divisheni ya Sheria,Novaita Mrosso.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji(IOM),Amy Pope yuko nchini kwa ziara ya kikazi ambapo amekutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan,leo tarehe 17/8/2026,Visiwani Zanzibar.

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…