Katambi: Mwenye ushahidi kuhusu watekaji aniletee

Yaani kuna mtu kweli anajitambua anaweza kumpelekea huyo mpuuzi ushahidi wowote? Au anadhani kuna mtu anaimani na wahuni wa serekali ya damu? Au Katambi anadhani kila mtu anamuona ni kiongozi?
 
Yaani kuna mtu kweli anajitambua anaweza kumpelekea huyo mpuuzi ushahidi wowote? Au anadhani kuna mtu anaimani na wahuni wa serekali ya damu? Au Katambi anadhani kila mtu anamuona ni kiongozi?
Ccm inapenda viongozi mandondocha Kama Katambi ili watumike Kama machine
 
Ben Saanane aliweka mpaka namba za watu waliokuwa wanamtisha.... Serikali ilifanya nini na hizo taarifa?
Kuna clip ya zamani akiwa bavicha alizungumzia sana kuhusu Ben
Leo hii ka switch kwingine
Siku zote usimuweke mdhamana mwanasiasa 😄

Ova
 

Ushahidi ulishatolewa na SATIVA ..kama yuko serious aanzie hapo. Asipotezee watu muda.
 

Sasa hivi nae tutasikia ana miliki V8 tatu na maghorofa ya Apartments...Mwana ndiyo keshatoka hivyo kimaisha.
 
Mafwele aliwateka wanaharakati wa kenya na uganda ambao ikasababishwa mpaka apigwe BAN na US.
 
Pumbavu kabisa hili zombie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…