Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Katambi anajionesha dhahiri shahiri kwamba is a walking dead na CDM kilikuwa ni kichaka cha kuficha ufukara wake wa hali na mali...mtu kama Ben Saanane amepotea wakati Katambi ni Mwenyekiti wa Bavicha.
..nilitegemea Katambi baada kubahatika kuwa Waziri wa Mambo ya ndani atampigania rafiki yake Ben Saanane na wengine.
Na huo ndo msimamo wa CCM na serekali.Katambi ni Takataka.
Amejipaka Mavi.
Tumeamua kuwa wajinga....watz kiujumla tuna ujinga...tulipumbazwa na bado wapo wanaokubal kupumbazwa maana utakuta kuna watu wanampigia makofi kwa huu uharo aliongea hapoHivi hawa watu ni kwa nini wanadharau sana akili za watanzania wenzao kwa kauli mbovu mbovu kama hizi?
Katambi anavyoongea hata ukimwangalia usoni unagundua anafanya maigizo maana anaonekana analazimisha sana kuwa serious wakati anayobwatuka ni maneno ya kipuuzi.Yaani kuna mtu kweli anajitambua anaweza kumpelekea huyo mpuuzi ushahidi wowote? Au anadhani kuna mtu anaimani na wahuni wa serekali ya damu? Au Katambi anadhani kila mtu anamuona ni kiongozi?
Ndio hao hao waliomuweka kwenye huo uwaziri uchwara