Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kama kutakuwa na amani mbona mmeanza vitisho sasa!
Siwaoni watu wakija huko sabasaba hiyo siku hofu imetawalaa sana
===========
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amewasihi wananchi wajitokeze kwa wingi kwenye kilele cha Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) ili kunufaika na fursa mbalimbali.
Soma Pia: Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote
Katambi, akiwa kwenye banda la Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), amesema vyombo vya ulinzi na usalama vipo imara wakati wote kuwahakikishia Watanzania wanakuwa ni wenye furaha na amani tele.