Katarama Buses: Route ya Kampala-Ben, na Ben-Kisangani itaanza karibuni

Hizo bus umeweka picha hapa sio katarama mkuu
 

Attachments

  • Screenshot_20240917_083827_Google.png
    1.1 MB · Views: 3
Angekuwa Mwarabu angalikuwa juu ya sheria na angelifanya chochote bila bughudha.
Sasa mwarabu kaingiaje hapo? Ulitaka siku aue abiria kisa ni mtu mweusi ?Kwa makusudi kabadilisha kifaa cha kumonitor mwendo na kapachika chake ili atembee kwa spidi kubwa ?.Acha sheria ifuate mkondo wake hajaonewa kabisa.
 
Mambo ya ajabu haya
 
wamemfanyia uchawi mwekezaji wa ndani.
wawekezaji wa nje wanatirirsha maji machafu kwenye vyanzo vya maji wanavyotumia wananchi na hawafungiwi wala awapigwi faini.
 
Wapuuzi sana jamaa Mimi sio wakumibadirishia basi😂😂kisa hawana abiria
 
Analeta Volvo?
 
Samia alishadeclare kuwa yeye ni mwarabu.
 
Hivi kwani hakuna biashara nyingine zaidi ya mabasi? Kila mtu ananunua mabasi, halafu baadae mnakuja kulia hakuna biashara, sasa nani anawalazimisha kununua mabasi, fanyeni na biashara za uzalishaji mali pia..
 
Mbaya zaidi ukute huyo boya aliefungia kibali hamiliki hata boxer ila kwa ghilba ya nafsi tu anaamua kumkomoa mtu ili amtie hasara ya mamilioni.
 
Wewe umebakiza kupaa na ungo tu (kama hujaanza bado) ili kuwa fully fledged mwanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…