Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wapambe wa tajiri wana nguvu.
Tayari wapambe walishaenda kampala na kisanganj kuangalia njia na kushughulikia vibali, japo wengine wana mshauri center iwe Kampala to Juba na Kampala to Ben, huku wakimweleza kisangani aende baadae.
Mmiliki wa mabasi ya Classic nae anachekelea apate Mtanzania mwenzie huko ili wapambane ni full vurugu,
Lakini ndio biashara ikikataa upande mmoja basi unajiongeza upande mwingine, hauwezi ukakaa bila kazi wakati dunia ni kijiji na kote fursa zipo.
Kila la kheri Katarama,
View attachment 3098052
Acha majingaAende tu tunataka wawekezaji watakao fuata sheria
Habari njema sana hii. Tulikuwa tunapata shida sana kusafiri kwenda Beni. Uingie Mbarara, upite mpondwe, ofcourse ndiyo barabara hiyohiyo tatizo ni hakuna reliable transport na hapo bado haujahisiwa kuwa wewe ni Mwanajeshi au Jasusi.Kweli wapambe wa tajiri wana nguvu.
Tayari wapambe walishaenda kampala na kisanganj kuangalia njia na kushughulikia vibali, japo wengine wana mshauri center iwe Kampala to Juba na Kampala to Ben, huku wakimweleza kisangani aende baadae.
Mmiliki wa mabasi ya Classic nae anachekelea apate Mtanzania mwenzie huko ili wapambane ni full vurugu,
Lakini ndio biashara ikikataa upande mmoja basi unajiongeza upande mwingine, hauwezi ukakaa bila kazi wakati dunia ni kijiji na kote fursa zipo.
Kila la kheri Katarama,
View attachment 3098052
Sisi mwalimu wetu Msemwa alitufundisha hivyo wakati tupo darasa la pili.Hivi wingi wa bus ni buses?
Sasa jeHivi wingi wa bus ni buses?
Sisi wabongo hata ambao hawako kwenye mfumo, leta wivu sana. Kuna mtu anaweza kukusagia Kunguni mpaka ukashangaa. Unakuta hamna uhusiano wa biashara zenu au issue zenu lkn anakusagia kunguni balaaaMaisha popote chezea pua ila sio biashara za watu, Tanzania watu wenye dhamana ya taasisi na idara za Serikali wamejaa wivu na ni wachawi
Halafu unawakuta na kodi wanataka haswaaUnamnyan'ganya mtu leseni badala ya kumuonya. Wtz wanakosa ajira.
Makosa ya magari ni maonyo na fine kubwa ukitaka lkn sio kuzuia mtu asifanye biashara. Unamnyima haki yake ya kikatiba kufanya kazi na kupata kipato eboo
Hivi ndugu yangu unajua kuwa serikali inampa Ruzuku Bakhresa, Mo Dewji, Murzah na Rostam. Tanzania hadi tutoboe bado sana.Mama Samia njoo vuna kura zetu huku kanda ya ziwa kwa kutetea weusi wenzako Katarama kwenye hii biashara against waarabu Ally's, hawa wanaotaka kujiona Miungu watu wakati baba zao walikuja Tanzania kwa kutumia upepo wa Mansoon wind na sasa wanajibebea mali tu watakavyo. Yaani inashangaza Ally's na Katarama zinatoka Dar muda mmoja halafu Ally's inawahi kufika huku Katarqma anadakwa kachezea VTS alafu Ally's ndio kwanza anaongezewa route za kwenda! LATRA mnatuona watanzania mapoyoyo kutokujua huu ni mchezo mchafu ?