BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Karibu Jamii Forums jukwaa la matajiri wa habari za matajiri wa mali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri nao hawakuona scandinavia wakifail? Biashara ku fail kuna changiwa na mengi sana na biashara kufanikiwa kuna mengi pia. 3 billions hujui kaitolewa wapi na target yake ni ipi pia.. tutabaki hapa tuna assume tu mipango yakeHata waliofeli walifanya hesabu pia. Scandinavia ilikuwa hivyohivyo ina wawekezaji ikafirisika
Muda utaamua mark this commentUnafikiri nao hawakuona scandinavia wakifail? Biashara ku fail kuna changiwa na mengi sana na biashara kufanikiwa kuna mengi pia. 3 billions hujui kaitolewa wapi na target yake ni ipi pia.. tutabaki hapa tuna assume tu mipango yake
Atafanikiwa tu kwa malengo aliyojiwekeaMuda utaamua mark this comment
Atafanikiwa tu kwa malengo aliyojiwekea
unaamini ata fail? utasubiri sanaBaada ya miaka kadhaa tutarudi kwenye huu uzi. Kikubwa uhai
Mambo ya ajabu sana, watu wanachinjika mno kutokana na mwendokasi wa barabarani.Yaani gari ikimbie kisa una wahi ugali mezani!
Mtakie heri kwenye mishe zake mkuu. Kesho ya mwanadamu anayo Mungu pekee.Baada ya miaka kadhaa tutarudi kwenye huu uzi. Kikubwa uhai
Mtakie heri kwenye mishe zake mkuu. Kesho ya mwanadamu anayo Mungu pekee.
Kwa hiyo za South ni cheap kwanini?Lazima nifanye biashara Ili kuijua biashara, siwezi kusoma nikawa mtaalam wa biashara!?..huyo atafeli tu,labda ziwe cheap irizari za sauzi
Kwa hiyo ile dxe iliyokuwa ya sauli ilikuwa haijazi abiria?labda ungesema hawapendi mwendo wa kobe ningekuelewa.Mbeya washamba
Hawawezi kuacha miyutong ya achimwene
Na matema beachInjini nyuma
Tunarejea enzi za Kiswele na special coach
Tatizo ni kianzio tu,ukiwa na kianzio... wadau wa kuingiza hela ni wengi,watu wana hela wanataka nani wa kumuwekea wazitakatishe.Mvimba Macho....
Hapa sjui ni Mchina na New Force zake?
Hongera kwa Mwamba Katarama. Uzuri wa Nchi zetu za Waizi ukiingia kwenye Biashara kama hiyo Wazee wa Madili/Wapigaji wanaotaka kutakatisha pesa zao ni Mwendo wa kukujazia Mabasi/Mtaji unavimba mjini kiulaiiiini.
Asante sana 🙏🏿siwezi kupinga kipindi sijajiunga jamiiforum nilikuwa natumia jamiiforum kuptia operamini kwenye mobile phone jina la mshana nilikuwa naliona ni kitambo sana
almost kama miaka 16 hivi
yoyote kwa yote huu uzi bila picha bado hujakamilika bro kwa heshima yako 😀View attachment 3088256
Ngoja like kiseto aje na break down900m/bus? Hiyo pesa haiwezi kurudi
Kesho ya mwanadamu anayo Mungu pekee.❤❤❤Mtakie heri kwenye mishe zake mkuu. Kesho ya mwanadamu anayo Mungu pekee.
Baba huko Zambia kuna chuma balaa Mercedes Benz halafu zinavuta telaNilikua nikifika lusaka kwenda zim au Kwa mandela unaona wale ndio wanasafiri bongo ni safari inakua kama kifo bana unafika umechoka mwili wote
Duuh jamaa wako mbali sana. Hiyo trailer ni ya mizigo mkuu?Baba huko Zambia kuna chuma balaa Mercedes Benz halafu zinavuta tela
Sauti ya manka(Happy nation) Dar to Mbeya inaingia saa 10 jioni. Nakumbuka nilifika na kuwahi mechi uwanja wa Sokoine (Mby)Ile happy nation voice of manka chuma ilikuwa inamwaga moto kama imeibiwa