milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
SGR itamfanya alale macho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila yutong bei sawa na coaster!Bilioni 3 na milioni 600 sawa na Yutong 20 ina maana Yutong Moja ni milioni 180?!
Duuh jamaa wako mbali sana. Hiyo trailer ni ya mizigo mkuu?
Lakin hela inakua ishaludisha na faida juu, sasa huo msacania had hela ikalud ni lini? Huo msania watter pump tu million 4, hiyo ya mchina laki na nunusu sasa nani hapo mwenye akili?Gari za mchina zinawahi sana kuchoka, namba unakuta DZ lakini bodi imetepeta na engine inaenda kama kondoo, tulitoka Mwanza na katarama na mwenzangu kapanda yutong sisi tulifika Dar saa nne asubuhi, wazee wa Yutong wakafika saa kumi jioni, halafu nauli ni ileile we kuwahi tu booking!
Hajui kitu huyo kuhusu biashara, anakoment tu kwa hisia.Lazima nifanye biashara Ili kuijua biashara, siwezi kusoma nikawa mtaalam wa biashara!?..huyo atafeli tu,labda ziwe cheap irizari za sauzi
Anaijua kwanza hiyo DXEKwa hiyo ile dxe iliyokuwa ya sauli ilikuwa haijazi abiria?labda ungesema hawapendi mwendo wa kobe ningekuelewa.
Chaguo ni lako Scania inadumu sana, na reselling value yake bado ni kubwa sana. kama una mtaji wa Yutong we bebesha abiria wako kwenye Yutong, Katarama ameaamua kustick kwenye quality na Brand na ndio kitu kilichomfanya awe tofauti na hao wa Yutong. na kikubwa tuzidi kumwombea sio wote tunataka kupanda michina ni basi tu ndio mingi iliyopo !!Lakin hela inakua ishaludisha na faida juu, sasa huo msacania had hela ikalud ni lini? Huo msania watter pump tu million 4, hiyo ya mchina laki na nunusu sasa nani hapo mwenye akili?
Vita imeanza 😂Story za kijiweni nilisikia kanunua 4..kapewa nne kwa daftari... So jumla ako na chuma nane..
Siku ya mapokezi nilikuwepo shekilango pale ndio nikapata hizo nyepesi nyepesi kutoka kwa wanazi wa hayo mambo ya mabasi na usafiri wa umma.
View attachment 3088990View attachment 3088992
Biashara ni sayansi, Aboud kazitema Scania.Kufuru nyingine leo katoa Iriza new model ine ukitaka tamko nne au 4 ambazo kwa bei ya sokoni billion tatu na milion mia sita sawa na YUTONG 20
Leo Morogoro road ilikuwa ni kelele za mahoni wakati chuma zikiliacha jiji la Dar kuelekea Mbeya kwa msafara wa kuvutia zikiwa full headlight, full double hazard
Last week inasemekana pia alipeleka chuma kama hizo pia.. Nia yake kubwa ni kumkanyagisha miwaya mvimba macho anayeekea kukata pumzi kwenye njia zote za masafa marefu
Dar Bukoba
Dar Tunduma
Dar Mbeya
Dar Mwanza
Dar Kahama
Nilichokiona leo ni kile kitaa tunaita funika bovu! chuma zingine zote modeli ya mvimba macho zilikuwa zinapiga salute kubwq mbele ya mbabe IRIZA
Kwa kifupi alichofanya KATARAMA ni kutafuta heshima na kuonesha ubabe💪🏿💪🏿💪🏿
Picha kwa hisani ya joseph_mbeya 🙏🏿
View attachment 3088266
Vita imeanza 😂View attachment 3094089
nyie mtaona kipindi cha afcon atakavyokula izo pesa juzi congo walianza inshalaaah zifike ila ataula sanaKatarama mwisho wake utakuwa mbaya sana, sijajua hiyo Return On Investment (ROI) anairudishaje?
nyie mtaona kipindi cha afcon atakavyokula izo pesa juzi congo walianza inshalaaah zifike ila ataula sana