Katarama kapiga tena kwenye mshono!

Hata waliofeli walifanya hesabu pia. Scandinavia ilikuwa hivyohivyo ina wawekezaji ikafirisika
Unafikiri nao hawakuona scandinavia wakifail? Biashara ku fail kuna changiwa na mengi sana na biashara kufanikiwa kuna mengi pia. 3 billions hujui kaitolewa wapi na target yake ni ipi pia.. tutabaki hapa tuna assume tu mipango yake
 
Unafikiri nao hawakuona scandinavia wakifail? Biashara ku fail kuna changiwa na mengi sana na biashara kufanikiwa kuna mengi pia. 3 billions hujui kaitolewa wapi na target yake ni ipi pia.. tutabaki hapa tuna assume tu mipango yake
Muda utaamua mark this comment
 
Tatizo ni kianzio tu,ukiwa na kianzio... wadau wa kuingiza hela ni wengi,watu wana hela wanataka nani wa kumuwekea wazitakatishe.
 

Asante sana 🙏🏿
900m/bus? Hiyo pesa haiwezi kurudi
Ngoja like kiseto aje na break down
Mtakie heri kwenye mishe zake mkuu. Kesho ya mwanadamu anayo Mungu pekee.
Kesho ya mwanadamu anayo Mungu pekee.❤❤❤
 
Nilikua nikifika lusaka kwenda zim au Kwa mandela unaona wale ndio wanasafiri bongo ni safari inakua kama kifo bana unafika umechoka mwili wote
Baba huko Zambia kuna chuma balaa Mercedes Benz halafu zinavuta tela
 

Attachments

  • Screenshot_20240906-204328.jpg
    421.8 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240906-204330-1.jpg
    203.6 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240906-204319-1.jpg
    260.5 KB · Views: 7
Story za kijiweni nilisikia kanunua 4..kapewa nne kwa daftari... So jumla ako na chuma nane..

Siku ya mapokezi nilikuwepo shekilango pale ndio nikapata hizo nyepesi nyepesi kutoka kwa wanazi wa hayo mambo ya mabasi na usafiri wa umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…