Katarama mnawahi wapi?

Acha kuandika usenge hujasikia hivi karibuni walifungiwa kwa sababu ya kuchezea mfumo wa VTS?
Hakuna bus ambalo hawajachezea mfumo. Kama nimesafiri fuatilia bus la abood, Shabiby, BM, Ester, Adventure, n.k wengine hasa nyakati za usiku endesha 100km/h uone kama utaeakuta. Hivyo kuchezewa kwa mifumo ni wote

Pili sio lazima uandike matusi kufikisha ujumbe wako. Maana naweza kufanya ukapigwa ban. Toa hoja sio matusi
 
Kwa hiyo unaunga mkono kuchezea mfumo wa VTS?

Ukiandika ujinga unastahili matusi
 
Watanzania ni watu wa hovyo sana

Mtu katoa taarifa muhimu, wengine wanakimbilia kusema jamaa ni mnazi wa Ally's

Hivi vitu ni vya kukemea haijalishi ni mabasi ya Ally's au Katarama au kampuni nyingine yoyote

Kunapokuwa na suala kama hili tusiwakingie vifua mabosi wa hizo kampuni, bwana Laurian (Katarama) na Amran (Ally's) wao biashara zao zitabaki palepale ila wewe utakayempoteza mpendwa wako ndio mazima ujue

Chuma zikianguka zinapelekwa gereji zinakuwa mpya. Ikifa mazima wanaagiza zingine

Uhai hauna spare abiria akifa amekufa akipata ulemavu wa kudumu imekula kwake

Acheni ujinga mbwa nyie
 
umepoteza bure nguvu ndugu yangu kuwaandikia raia wa taifa la ukimani. hao bado hawajawa watu kamili ni kima watu.
 
Huna uelewa wowote wa magari kaa kimya!
 
Hawa si Walifungiwa mwezi huu imekuwaje wamerudi barabarani na juzi juzi walisimamishwa leseni yao na mmiliki akatoa ahadi ya kutii sheria za barabarani?
Mtu Kama huyo akivunja sheria za barabarani Hana tofauti na jamabazi au fisadi .


Hawa watu wa mabasi wasipodhibitiwa watazidi kuuwa au kuwapa ulemavu nguvu kazi ya taifa .
 
Wewe hujasikia au hata Kulikoni wamerejeshwa kinyemela?

Acheni fitina na biashara za watu.

Si mkomae na zenu mziendeshe vyema zaidi?
Kwanza walipewa semina na pili mabasi yanafunguliwa kwa awamu

Mambo yote yaliyotendeka yako wazi. Hakuna hiyo kinyemela uliyosema

Mimi sina mabasi kama wewe unayo fuata sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…