Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Matusi Siyo Mazuri *Acha kuandika usenge hujasikia hivi karibuni walifungiwa kwa sababu ya kuchezea mfumo wa VTS?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matusi Siyo Mazuri *Acha kuandika usenge hujasikia hivi karibuni walifungiwa kwa sababu ya kuchezea mfumo wa VTS?
Hakuna bus ambalo hawajachezea mfumo. Kama nimesafiri fuatilia bus la abood, Shabiby, BM, Ester, Adventure, n.k wengine hasa nyakati za usiku endesha 100km/h uone kama utaeakuta. Hivyo kuchezewa kwa mifumo ni woteAcha kuandika usenge hujasikia hivi karibuni walifungiwa kwa sababu ya kuchezea mfumo wa VTS?
Kwa hiyo unaunga mkono kuchezea mfumo wa VTS?Hakuna bus ambalo hawajachezea mfumo. Kama nimesafiri fuatilia bus la abood, Shabiby, BM, Ester, Adventure, n.k wengine hasa nyakati za usiku endesha 100km/h uone kama utaeakuta. Hivyo kuchezewa kwa mifumo ni wote
Pili sio lazima uandike matusi kufikisha ujumbe wako. Maana naweza kufanya ukapigwa ban. Toa hoja sio matusi
Acha kuandika usenge hujasikia hivi karibuni walifungiwa kwa sababu ya kuchezea mfumo wa VTS?
Umesikia Katarama wakilalamika wameonewa?Bila kuwa na ushahidi usioacha shaka, kwanini isiwe ni fitina zile zile za pande za kwetu?
umepoteza bure nguvu ndugu yangu kuwaandikia raia wa taifa la ukimani. hao bado hawajawa watu kamili ni kima watu.Watanzania ni watu wa hovyo sana
Mtu katoa taarifa muhimu, wengine wanakimbilia kusema jamaa ni mnazi wa Ally's
Hivi vitu ni vya kukemea haijalishi ni mabasi ya Ally's au Katarama au kampuni nyingine yoyote
Kunapokuwa na suala kama hili tusiwaangalie hao mabosi wa hizo kampuni. Bwana Laurian (Katarama) na Amran (Ally's) wao biashara zao zitabaki palepale ila wewe utakayempoteza mpendwa wako ndio mazima ujue
Chuma zikiangauka zinapelekwa gereji zinakuwa mpya. Ikifa mazima wanaagiza zingine
Abiria hawana spare akifa amekufa akipata ulemavu wa kudumua imekula kwake
Acheni ujinga
Inasikitisha sanaumepoteza bure nguvu ndugu yangu kuwaandikia raia wa taifa la ukimani. hao bado hawajawa watu kamili ni kima watu.
Huna uelewa wowote wa magari kaa kimya!Ninewahi kupanda bus lao mara mbili. Kuna wakati nadhani ni washindani wao wanapiga vita. Mara zote nilizopanda sikuona mwendo wa hatari Wala blind spot overtake. Badala yake sehemu zenye mwinuko hayo mabus mengine yakuwa yanapitwa kwa Kasi sana kutokana na uwezo wa bus husika(scania), Sasa kwa maoni yangu, huu ni ugomvi wa brand za magari na sio bus operators.
Mabasi 6 yalifunguliwa!Wamefunguliwa kimya kimya au gari inatembea bila abiria?
Umesikia Katarama wakilalamika wameonewa?
Umesikia Katarama wakilalamika wameonewa?
Kwanza walipewa semina na pili mabasi yanafunguliwa kwa awamuWewe hujasikia au hata Kulikoni wamerejeshwa kinyemela?
Acheni fitina na biashara za watu.
Si mkomae na zenu mziendeshe vyema zaidi?