Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Pole ndugu, I felt it too!Kwani lazima utukane?.
Pole ndugu, I felt it too!Kwani lazima utukane?.
Uko sahihi sana.Unakuta Boss Amran(Ally's) mweyewe hana hata habari ila wapambe sasa? Kuna kitu kinaitwa Unazi ni yale yale ya Usimba na Yanga, nchi ya ovyo sana hii.
Kwanza walipewa semina na pili mabasi yanafunguliwa kwa awamu
Mambo yote yaliyotendeka yako wazi. Hakuna hiyo kinyemela uliyosema
Mimi sina mabasi kama wewe unayo fuata sheria
Sawa, hata huko ulaya ni sheria zinazoweka barabara hii spidi, barabara hii polepole.Fuata sheria
Semina elekezi LATRA na KataramaHii kufunguliwa Kwa awamu, semina zilitangazwa wapi?
Fuata sheriaSawa, hata huko ulaya ni sheria zinazoweka barabara hii spidi, barabara hii polepole.
Kiufupi, miundombinu na sheria ziwatumikie watu kwa kuweka mazingira yanayowezesha wote kufaidi mema ya barabara.
Asijifiche mtu kwenye kichaka cha sheriasheria wakati anatakiwa kuweka pia mazingira.
Halafu chief sheria zinabadilika. Mfano kuna wakati ilikuwa ni sheria hairuhusiwi kutembea usiku. Na mtu akitaka kutembea usiku ungemkazia 'FUATA SHERIA'. Lakini pale akili kubwa ilipoamua kutumika na kusema miundombinu na migumo tutaiweka namna ambayo watu wanatembea masaa yote ndiyo matokeo yake tunayaona karibu kila mtu ameioenda na amefaida. Wa kusafiri usiku anasafiri na wa kusafiri mchana anasafiri. Na kila mtu anafurahi.
Sheria ni kwa ajili ya watu, sio watu kwa ajili ya sheria hata wenye hekima waliahatanabaisha ✌. Peace.
Tengeneza sheria za kueleweka.Fuata sheria
Tii sheria zilizopoTengeneza sheria za kueleweka.
Jiulize, mbona misafara ina spidi?
Mwisho wa safari ni mbinguni. Hivyo hata wewe ukifika salama nyumbani hapo ni kituo tu ktk safari ya mbinguni. Na unaweza ukaingua kulala kitandani na safari ikaemdelea ikiwa usingizini😀😀Hua sipandi mabasi ya wapenda sifa, uhai ni muhimu kuliko kuwahi ,
Sijawahi safari safari isiyo na mwisho na safari zote nmefika salama , mnaopenda magari yenye mwendo endeleeni na huo moyo
Utabiri wangu hukutimia?ANAWAHI PEPONI
Semina elekezi LATRA na Katarama
View attachment 3111881View attachment 3111882
Zilikuwa zimebaki DXE, EDR na EBR nadhani zinatoka kifungoni leo
Kweli kabisaHua sipandi mabasi ya wapenda sifa, uhai ni muhimu kuliko kuwahi ,
Mkuu, usikaze fuvuKwa taarifa hizi ambazo hazikuwepo popote hadharani, Latra mnaona je mngekuwa na mabasi yenu kabisa, mkayaendesha vizuri mno Kwa kufuata sheria na yakawa ya mfano?
Mkuu, usikaze fuvu
Haya mambo sio ya kushabikia kama mpira
Kumbuka wanabeba roho za watu.
Likianguka tutarudi hapa hapa kuwapa lawama latra na traffic ila wakati tunaelekezwa tunakua wabishi
Abiria wanafki sanaKATARAMA KATARAMA KATARAMA!!!
Nilichoshudia Jana saa 11 jioni ktk hii BUS JIPYA lililokua linaeleka Mwanza kama walifika salama wamshukuru Mungu na wasali sana maana alikuwa ana overtake magari zaidi 3 sehemu yenye mlima alikuwa anaua abiria wake na kusababishia ajali BUS LA ADVENTURE.
Naombeni kama raia mwema fuatilieni hii taarifa LATRA, USALAMA BARABARANI
Hebu ficha upumbavu wako basi. Kwa hiyo matusi ndio yanaondoa uchezeaji huo. Hi mitoto ya siku hizi Bora hata kusomesha punda atakuwa namna Bora ya kubeba mizigo na kuvuka njiaKwa hiyo unaunga mkono kuchezea mfumo wa VTS?
Ukiandika ujinga unastahili matusi
Mimi na wewe nani mpumbavu? Unajua kinachozungumziwa au umedandia tu mada? Acha ujinga kwenye mada usizozielewa mwehu weweHebu ficha upumbavu wako basi. Kwa hiyo matusi ndio yanaondoa uchezeaji huo. Hi mitoto ya siku hizi Bora hata kusomesha punda atakuwa namna Bora ya kubeba mizigo na kuvuka njia