Katarama mnawahi wapi?

Katarama mnawahi wapi?

Kwanza walipewa semina na pili mabasi yanafunguliwa kwa awamu

Mambo yote yaliyotendeka yako wazi. Hakuna hiyo kinyemela uliyosema

Mimi sina mabasi kama wewe unayo fuata sheria

Hii kufunguliwa Kwa awamu, semina zilitangazwa wapi?
 
Fuata sheria
Sawa, hata huko ulaya ni sheria zinazoweka barabara hii spidi, barabara hii polepole.

Kiufupi, miundombinu na sheria ziwatumikie watu kwa kuweka mazingira yanayowezesha wote kufaidi mema ya barabara.

Asijifiche mtu kwenye kichaka cha sheriasheria wakati anatakiwa kuweka pia mazingira.

Halafu chief sheria zinabadilika. Mfano kuna wakati ilikuwa ni sheria hairuhusiwi kutembea usiku. Na mtu akitaka kutembea usiku ungemkazia 'FUATA SHERIA'. Lakini pale akili kubwa ilipoamua kutumika na kusema miundombinu na mifumo tutaiweka namna ambayo watu wanatembea masaa yote ndiyo matokeo yake tunayaona karibu kila mtu ameioenda na amefaida. Wa kusafiri usiku anasafiri na wa kusafiri mchana anasafiri. Na kila mtu anafurahi.

Sheria ni kwa ajili ya watu, sio watu kwa ajili ya sheria hata wenye hekima waliahatanabaisha ✌. Peace.
 
Hii kufunguliwa Kwa awamu, semina zilitangazwa wapi?
Semina elekezi LATRA na Katarama
20241001_102039.jpg
20241001_102044.jpg

Zilikuwa zimebaki DXE, EDR na EBR nadhani zinatoka kifungoni leo
 
Sawa, hata huko ulaya ni sheria zinazoweka barabara hii spidi, barabara hii polepole.

Kiufupi, miundombinu na sheria ziwatumikie watu kwa kuweka mazingira yanayowezesha wote kufaidi mema ya barabara.

Asijifiche mtu kwenye kichaka cha sheriasheria wakati anatakiwa kuweka pia mazingira.

Halafu chief sheria zinabadilika. Mfano kuna wakati ilikuwa ni sheria hairuhusiwi kutembea usiku. Na mtu akitaka kutembea usiku ungemkazia 'FUATA SHERIA'. Lakini pale akili kubwa ilipoamua kutumika na kusema miundombinu na migumo tutaiweka namna ambayo watu wanatembea masaa yote ndiyo matokeo yake tunayaona karibu kila mtu ameioenda na amefaida. Wa kusafiri usiku anasafiri na wa kusafiri mchana anasafiri. Na kila mtu anafurahi.

Sheria ni kwa ajili ya watu, sio watu kwa ajili ya sheria hata wenye hekima waliahatanabaisha ✌. Peace.
Fuata sheria
 
Hua sipandi mabasi ya wapenda sifa, uhai ni muhimu kuliko kuwahi ,

Sijawahi safari safari isiyo na mwisho na safari zote nmefika salama , mnaopenda magari yenye mwendo endeleeni na huo moyo
Mwisho wa safari ni mbinguni. Hivyo hata wewe ukifika salama nyumbani hapo ni kituo tu ktk safari ya mbinguni. Na unaweza ukaingua kulala kitandani na safari ikaemdelea ikiwa usingizini😀😀
 
Kwa taarifa hizi ambazo hazikuwepo popote hadharani, Latra mnaona je mngekuwa na mabasi yenu kabisa, mkayaendesha vizuri mno Kwa kufuata sheria na yakawa ya mfano?
Mkuu, usikaze fuvu
Haya mambo sio ya kushabikia kama mpira
Kumbuka wanabeba roho za watu.
Likianguka tutarudi hapa hapa kuwapa lawama latra na traffic ila wakati tunaelekezwa tunakua wabishi
 
Mkuu, usikaze fuvu
Haya mambo sio ya kushabikia kama mpira
Kumbuka wanabeba roho za watu.
Likianguka tutarudi hapa hapa kuwapa lawama latra na traffic ila wakati tunaelekezwa tunakua wabishi

Kwani wewe usingependa Latra kuwa na mabasi yao ya mfano ndugu?

Kwamba wewe usingependa leading by examples ila tu management by walking around?
 
KATARAMA KATARAMA KATARAMA!!!

Nilichoshudia Jana saa 11 jioni ktk hii BUS JIPYA lililokua linaeleka Mwanza kama walifika salama wamshukuru Mungu na wasali sana maana alikuwa ana overtake magari zaidi 3 sehemu yenye mlima alikuwa anaua abiria wake na kusababishia ajali BUS LA ADVENTURE.

Naombeni kama raia mwema fuatilieni hii taarifa LATRA, USALAMA BARABARANI
Abiria wanafki sana
 
Kwa hiyo unaunga mkono kuchezea mfumo wa VTS?

Ukiandika ujinga unastahili matusi
Hebu ficha upumbavu wako basi. Kwa hiyo matusi ndio yanaondoa uchezeaji huo. Hi mitoto ya siku hizi Bora hata kusomesha punda atakuwa namna Bora ya kubeba mizigo na kuvuka njia
 
Hebu ficha upumbavu wako basi. Kwa hiyo matusi ndio yanaondoa uchezeaji huo. Hi mitoto ya siku hizi Bora hata kusomesha punda atakuwa namna Bora ya kubeba mizigo na kuvuka njia
Mimi na wewe nani mpumbavu? Unajua kinachozungumziwa au umedandia tu mada? Acha ujinga kwenye mada usizozielewa mwehu wewe
 
Back
Top Bottom