Lazima aseeHuyu mtoto mtamu sana ameolewa huyu
Lazima kaolewa au vipi maana daahLazima asee
ni yupi anakipaji?Hana lolote yule.. njaa ina msumbua.. kipaji hakuna
Ayaaaaaaaaah weeeeeeeh!Hajaolewa,ila ana mtoto
Oh My gosh. Blabla mingi but pointless. Umetoka kupiga punyeto sio bureeeeeDogo sio kila Title inabeba maana ya content, mara nyingi kwenye magazeti wanaweka Title za utata ili kumshawishi mtu anunue gazeti ila content ni different, refer Title za magazeti ya Shigongo. Mfano hii Title: 'WAZIRI ABAKA', kwenye content utakuta kitu tofauti na ulichodhania, kwenye Title unafikiri Waziri ambaye ni kiongozi Serikalini ila kwenye content unakuta kumbe alimaaanisha mwananchi wa kawaida anayeitwa Waziri. Hapo najaribu kukuelewesha tu mdogo wangu ili usiendelee kukariri kwamba kila Title inabeba maana ya content, kama na hapa utakuwa hujaelewa utakuwa huna tofauti na wale vilazza wa Udom waliotimuliwa hivi karibuni
Catherine ni mmeru.Mchaga matata
Hahahaha hao ni habari nyingine..Kama kweli unataka kucheka kuna wale jamaa wa jambo na vijambo segment ya ''maneno kumi'' daah utacheka sanaa
Au Ww Unafanana Nae Nikufuate....[emoji23] [emoji23] [emoji23] duuh
Halafu huyo kansiime sio mtz mm nimeongelea tz nzima hakuna mchekeshaji wa kike zaidi ya katarina.. Noma sanaTatizo la uliyemtaja anafanya komedi za "kibabe". Ila huyu wa Karatu hatari sana.
[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Au Ww Unafanana Nae Nikufuate....
Njoo Tu Unakimbia Utaanguka Uumie.[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app