Katarina Karatu, mchekeshaji wa kike namba 1 Tanzania

Katarina anafanya vizuri sana lakini najua kipaji chake ni kibichi kinahitaji kipikwe kiive.

Apate skills nyingi za stanfup comedy pamoja na somo la stage performance na attracting skills asimtegemee mc pilipili kabisa kwenye kujipatia ujuzi sababu mc pilipili vimemshinda.

Hana hizo skills nilizozitaja ajaribu kugoogle na kujifunza kwa standup comedians wa Nigeria na mbele.
 
Si kweli.
Mkuu ni kwel katarina anaweza mi kuna clip moja niliona alikuwa anatongozwa hajibu kitu jamaa kaimba mistari weeeee mpaka basi àlipoanza kuongea duh jamaa alikoma ubishi ile sio sauti maana saut ilikuwa nzitp luliko hata ya aliyekuwa anamtongoza
 
Binafs nampenda jaman huyu mdada cjui hata nisemeje, yaani nikiona clip yake kabla cjafungua naanza kucheka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe Kama mm
 
Huwa nawashangaa baadhi ya watu .....yaani ikiwa kitu au mtu anampenda yeye basi moja kwa moja anampasisha kuwa namba moja utasema kuna mashindano.......

Watu tumetofautiana mambo mengi.....kinachokupa wewe raha basi ujue kuna mwenzako kinampa karaha.....
 
Mkuu ni kwel katarina anaweza mi kuna clip moja niliona alikuwa anatongozwa hajibu kitu jamaa kaimba mistari weeeee mpaka basi àlipoanza kuongea duh jamaa alikoma ubishi ile sio sauti maana saut ilikuwa nzitp luliko hata ya aliyekuwa anamtongoza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu hujalazimishwa kumkubali ila ndo ivo Kama yupo mchekeshaji wa kike Tz mtaje
 
Yaantashangaa mtu akimponda Huyu dada kwani kipaji anacho plus umbo na uzuri she is dope[emoji8] [emoji39]
 
Back
Top Bottom