Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua lakiniajina yake kamili?We marangu wanashepu za dizain iyoo embuuu acha ulumbukeni wa mawazoo marangu no talented gerl kama huyoo we toa support yako kwake ulitaka ucfiwe ww
Ndio anaitwaa katarinaUnajua lakiniajina yake kamili?
Hayo ni ya kisanii tafuta interview yake na clouds tv.Ndio anaitwaa katarina
Mkuu ni kwel katarina anaweza mi kuna clip moja niliona alikuwa anatongozwa hajibu kitu jamaa kaimba mistari weeeee mpaka basi àlipoanza kuongea duh jamaa alikoma ubishi ile sio sauti maana saut ilikuwa nzitp luliko hata ya aliyekuwa anamtongozaSi kweli.
Dar..... Dareshi [emoji4]"Kwetuu Dar"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu ni kwel katarina anaweza mi kuna clip moja niliona alikuwa anatongozwa hajibu kitu jamaa kaimba mistari weeeee mpaka basi àlipoanza kuongea duh jamaa alikoma ubishi ile sio sauti maana saut ilikuwa nzitp luliko hata ya aliyekuwa anamtongoza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu ni kwel katarina anaweza mi kuna clip moja niliona alikuwa anatongozwa hajibu kitu jamaa kaimba mistari weeeee mpaka basi àlipoanza kuongea duh jamaa alikoma ubishi ile sio sauti maana saut ilikuwa nzitp luliko hata ya aliyekuwa anamtongoza
Mkuu hujalazimishwa kumkubali ila ndo ivo Kama yupo mchekeshaji wa kike Tz mtajeHuwa nawashangaa baadhi ya watu .....yaani ikiwa kitu au mtu anampenda yeye basi moja kwa moja anampasisha kuwa namba moja utasema kuna mashindano.......
Watu tumetofautiana mambo mengi.....kinachokupa wewe raha basi ujue kuna mwenzako kinampa karaha.....
Kweli broo tatizo hawaijui serious commedyTatizo bongo mshazoea komedi ni kuvaa kikike na kujipaka paka masinzi.....love this woman.
Mkuu hujalazimishwa kumkubali ila ndo ivo Kama yupo mchekeshaji wa kike Tz mtaje
Yupo Mwanza hivi karibuni.[emoji134] [emoji134] [emoji134] Mimi fan wake tu ninetokea kuvutiwa na comedy yake tu, yeye yuko Arusha Mimi Mwanza wapi na wapi