Katarina Karatu, mchekeshaji wa kike namba 1 Tanzania

Katarina Karatu, mchekeshaji wa kike namba 1 Tanzania

Dogo sio kila Title inabeba maana ya content, mara nyingi kwenye magazeti wanaweka Title za utata ili kumshawishi mtu anunue gazeti ila content ni different, refer Title za magazeti ya Shigongo. Mfano hii Title: 'WAZIRI ABAKA', kwenye content utakuta kitu tofauti na ulichodhania, kwenye Title unafikiri Waziri ambaye ni kiongozi Serikalini ila kwenye content unakuta kumbe alimaaanisha mwananchi wa kawaida anayeitwa Waziri. Hapo najaribu kukuelewesha tu mdogo wangu ili usiendelee kukariri kwamba kila Title inabeba maana ya content, kama na hapa utakuwa hujaelewa utakuwa huna tofauti na wale vilazza wa Udom waliotimuliwa hivi karibuni
Oh My gosh. Blabla mingi but pointless. Umetoka kupiga punyeto sio bureeeee
 
Kwa uzuri wake naanza kujichekesha mwenyewe kabla yeye hajaanza,ofukozi hata asiponichekesha nitajichekesha tu.
 
Back
Top Bottom