Katarina Karatu, mchekeshaji wa kike namba 1 Tanzania

Kuna ile Eti unataka Mimi nichangie harusi halafu akateseke waseme Katarina alichanga?? Hapana..kwani hatujui kwenye ndoa wanafanyaga nini....mimba kwanza ndo ntachanga sio nachanga Baada ya mwezi ndoa hakuna....nani anataka hasara...VP Na ile mumewe mlokole anaenda mkutanoni Iringaa kuombea Akamrudisha Eti hakuna Mkutano wala nini unamfuata Mchepuko...Akaanza kumuombea mumewe..Ile sala yake .lazima mume asiende tena mkutanoni..Kifupi..this lady has got Talent
 
Hana lolote yule.. njaa ina msumbua.. kipaji hakuna
Baada ya kutokea Katharina Na akakukataa sasa unakuja kumponda..Sio lazima wote tumkubari ila piga UA kama Mungu kamtunuku kipaji Hata uwange vipi Atatoboa tu..Watu kama ninyi wambeya wachawi wenye wivu 'HATA KWETU WAPO'
 
For sure anajitahidi jmn plz just kumpa support zenuuu za muhimuu sana kwake na pia kwa kipaji alichonacho mwiraq mwenzangu. ....[emoji7][emoji7][emoji7][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11]sana ka2 kikwetu twasema naamamic loa_lleee [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
We ndo hewa kweli mbona katika txt yako hamna hata txt moja linaloweza kumfanya mtyu ajue we upo kwenye emotional ipiiii. ...ndo waleeee sweet mengoooooo
 
Nimewahi katarin kumwona kwenye event moja. ..anajitahidi sana.

Ila nashauri aangalie sana content za comedy zake. ...anarudia rudia themes na ziko low profile sio classic kiivyo.

Atazame jamaa anaitwa prof. Hamo wa churchilshow kuna vitu ataokota kuhusiana na theme na content
 
Mkuu comedy ni kipaji cha kuzaliwa nacho na wala sio kutumia nguvu nyingi na kubadilisha sauti, mimi binafsi nawapenda wanaochekesha na sauti zao wenyewe, MF. Katarina, mpoto, tin white n.k
mpoto nae anachekesha kumbe
 
Kama unamjua mwambie awe na I'd ya ssuti take ya kimbulu asijaribu kuiga sauti zingine kama kikurya, kichagga n.k akomae na sauti yake ya kimbulu kama kansiime alivyokuwa maarufu kwa kingereza chake cha kiganda /kihaya

Uyo dada sio mbulu ni mmeru na iyo ni lafudhi ya kaskazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…