Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
ahahaa nimechekaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaa we kweli screpa! nenda instaKachekesha wapi huyo, mi ndo namuona leo
Ndo kakuambia kwa hapa Tanzania..au siku hizi Kansiime ni Mtz?Kachekesha wapi huyo, mi ndo namuona leo
Wivu tuMe hajawahi nichekesha licha ya kuona clip zke uko insta vichekesho anavyofanya havina ubunifu unaweza predict neno au tendo gani hatafanya
Baada ya kutokea Katharina Na akakukataa sasa unakuja kumponda..Sio lazima wote tumkubari ila piga UA kama Mungu kamtunuku kipaji Hata uwange vipi Atatoboa tu..Watu kama ninyi wambeya wachawi wenye wivu 'HATA KWETU WAPO'Hana lolote yule.. njaa ina msumbua.. kipaji hakuna
Anao Original sio ka wa huyo Mchina Mkorea wenu.Vp ana mkia kama wema sepenga?
Acha kujiabisha...Oh My gosh. Blabla mingi but pointless. Umetoka kupiga punyeto sio bureeeee
Put some respeck on my notion plz [emoji41]Wivu tu
mpoto nae anachekesha kumbeMkuu comedy ni kipaji cha kuzaliwa nacho na wala sio kutumia nguvu nyingi na kubadilisha sauti, mimi binafsi nawapenda wanaochekesha na sauti zao wenyewe, MF. Katarina, mpoto, tin white n.k
Watu hatufanani, kuna wanaochekeshwa na mambo tofauti....labda yeye akimuona Mpoto anapekua Mwenzetu hana mbavu.mpoto nae anachekesha kumbe
Kama unamjua mwambie awe na I'd ya ssuti take ya kimbulu asijaribu kuiga sauti zingine kama kikurya, kichagga n.k akomae na sauti yake ya kimbulu kama kansiime alivyokuwa maarufu kwa kingereza chake cha kiganda /kihaya
We marangu wanashepu za dizain iyoo embuuu acha ulumbukeni wa mawazoo marangu no talented gerl kama huyoo we toa support yako kwake ulitaka ucfiwe wwAnanikera tu kwa hiyo lafidhi anayoitumia.Mtoto wa nyumbani Marangu