Daaah atakuwa wapi mkuu
Uzuri haringi
C mbulu ni mmeruKama unamjua mwambie awe na I'd ya ssuti take ya kimbulu asijaribu kuiga sauti zingine kama kikurya, kichagga n.k akomae na sauti yake ya kimbulu kama kansiime alivyokuwa maarufu kwa kingereza chake cha kiganda /kihaya
We jamaa sijui unawwzaga nini kabla ya kuandika hunifanya nicheke sanamwanaume kuchekeshwa na mwanamke mzuri hivyo unatia aibu