Katarina Karatu, mchekeshaji wa kike namba 1 Tanzania

Katarina Karatu, mchekeshaji wa kike namba 1 Tanzania

Daaah atakuwa wapi mkuu
IMG_20160818_101140.jpg
 
Uzuri haringi


Mkuu, heshima kwako.

Aisee hiyo avatar yako, imenifanya macho yastuck na kukodoa kodooo kwa dakika 8 hivi. Nimezoom lakini bado mtima unadai.

Kaka, hicho kinu ni next level. Watu wanafaidi sana walai.

-Kaveli-
 
Kama unamjua mwambie awe na I'd ya ssuti take ya kimbulu asijaribu kuiga sauti zingine kama kikurya, kichagga n.k akomae na sauti yake ya kimbulu kama kansiime alivyokuwa maarufu kwa kingereza chake cha kiganda /kihaya
C mbulu ni mmeru
 
Back
Top Bottom