Katavi: Askari wa TANAPA adaiwa kumuua mfugaji kwa risasi

Mwananchi alikuwa na silaha gani hadi wao watumie silaha ya moto?

Walikuwa kwenye mission ya kutaka kumfilisi mwenye hao ng’ombe kama kawaida yao, wengi wamefilisiwa kwa hila. Kwa sasa mkishindwa kukamata mnafyatua risasi JUU.
Kama mkuu wa polisi anavyoeleza hapo walizongirwa (hiyo ni bad intent), si lazima raia awe na silaha no, but ile kuwazunguka askari huwa anaruhusiwa kutumia silaha for self defence
 
Kesi imesha isha hapa, ishu ni self defence, end of the story
 
Kama mkuu wa polisi anavyoeleza hapo walizongirwa (hiyo ni bad intent), si lazima raia awe na silaha no, but ile kuwazunguka askari huwa anaruhusiwa kutumia silaha for self defence
Taarifa ya polisi na taarifa za wananchi zinakinzana

Wananchi mashuhuda wanasema hao askari wa TANAPA walimfuata jamaa mashambani akiwa anachunga, jamaa alipowaona kwa uoga akaanza kukimbia na ndipo wakamfyetulia risasi.

Kati ya hiyo taarifa ya jeshi la polisi na ya wananchi, mimi nitaiamini ya wananchi.
 
Hawa wapuuz wanatoaga taarfa zao wakifikir kila mtu ni nyumbu!! Unapiga risas kwa mfugaji alikua na silaha gan?? Na kupiga risas juu inauwa vp! Au kapigwa na ganda la risasi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…