King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
SI mara ya kwanza askari wa TANAPA kuua raia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi tu wameua mtoto huko TaboraSI mara ya kwanza askari wa TANAPA kuua raia.
Kama mkuu wa polisi anavyoeleza hapo walizongirwa (hiyo ni bad intent), si lazima raia awe na silaha no, but ile kuwazunguka askari huwa anaruhusiwa kutumia silaha for self defenceMwananchi alikuwa na silaha gani hadi wao watumie silaha ya moto?
Walikuwa kwenye mission ya kutaka kumfilisi mwenye hao ng’ombe kama kawaida yao, wengi wamefilisiwa kwa hila. Kwa sasa mkishindwa kukamata mnafyatua risasi JUU.
Wale ni TFSJuzi tu wameua mtoto huko Tabora
Kesi imesha isha hapa, ishu ni self defence, end of the storyPolisi mkoani Katavi inawashikilia askari wawili wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) kwa kosa la kumuua kwa risasi mfugaji aliyetambulika kwa jina la Gimbagu Mandagu mwenye umri wa miaka 25.
Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Kaster Ngonyani amesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha Ikuba kilichopo Halmashauri ya Mpimbwe.
View attachment 3169703
Soma pia:
Taarifa ya polisi na taarifa za wananchi zinakinzanaKama mkuu wa polisi anavyoeleza hapo walizongirwa (hiyo ni bad intent), si lazima raia awe na silaha no, but ile kuwazunguka askari huwa anaruhusiwa kutumia silaha for self defence
Kwanini mkuu? Kwamba wana tofauti na hawa polisi wa mitaani au??Usiombe ukutane na Hawa askari pori .