| Sekta |Wakala | Kipengele | Urefu | Idadi | Gharama (Tsh) | Hali | Tarehe |
|---|---|---|---|---|
| TANROADS | Mtandao wa barabara | 1,201.81 km (kuu 594.46, za mikoa 607.35) | - | - |
| Barabara Kimkakati | Mpanda–Tabora | 352 km | 273,829,309,854.29 | Imekamilika |
| Barabara Kimkakati | Mpanda–Sitalike | 35.9 km | 38,042,000,000 | Imekamilika |
| Barabara Kimkakati | Mpanda–Vikonge | 35 km | 61,887,000,000 | Imekamilika |
| Miradi ya Kitaifa 7 | Barabara na madaraja (Kavuu, Lugufu) | - | 405,313,485,100 | Kuendelea |
| Miradi ya Madaraja (Benki ya Dunia) | Katuma/Sitalike, Mirumba/Kitumba, Kilida | - | 17,286,798,663.50 | Kuendelea |
| TARURA | Mtandao wa barabara vijijini na mijini | 2,796.254 km (Lami 38.141, Changarawe 519.749, jumla 557.89 km, Udongo 2,238.364) | 63,943,451,708.12 | Hadi Juni 2025 |
| Matengenezo 2024/25 | Barabara, madaraja, usimamizi | 226.145 km | 13,990,596,716.52 | Kuendelea |
| Bandari | Bandari ya Karema | - | 47,974,892,364 | Imekamilika; meli 4 zinaendelea kujengwa |
Jumla ya fedha zote ni shilingi 921,267,534,406.43
Jumla ya urefu wa barabara zote ni kilometa 3,998.064
==Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mrindoko, amesema katika sekta ya miundombinu ya barabara na bandari, TANROADS inasimamia barabara km 1,201.81 (kuu 594.46, za mikoa 607.35) ikiwemo barabara za kimkakati Mpanda–Tabora km 352, Mpanda–Sitalike km 35.9, Mpanda–Vikonge km 35 na miradi 7 ya kitaifa yenye gharama ya Shilingi 405,313,485,100 ikiwemo madaraja ya Kavuu na Lugufu, pamoja na miradi 3 ya madaraja yenye ufadhili wa Benki ya Dunia Shilingi 17,286,798,663.50.
TARURA inahudumia barabara vijijini na mijini km 2,796.254 (Lami 38.141, Changarawe 519.749, jumla ya Lami na Changarawe 557.89 km, Udongo 2,238.364) na Mkoa umepokea Shilingi 63,943,451,708.12 hadi Juni 2025 kufanikisha ujenzi wa barabara lami 17.6 km, changarawe 475 km, barabara mpya 487 km, madaraja 31 (Box Kalavati), madaraja ya kawaida 672, madaraja ya mawe 20; mwaka wa fedha 2024/25 TARURA iliidhinishwa Shilingi 13,990,596,716.52 kwa matengenezo, madaraja na usimamizi ikifanikisha matengenezo jumla km 226.145, Kalvati 153, madaraja ya mawe 4, Box Kalavati 33, mifereji 8,617 m na taa 46. Aidha, Bandari ya Karema Shilingi 47,974,892,364 umekamilika na inatumika huku ujenzi wa meli nne za kubeba mizigo unaendelea kusaidia usafirishaji kutoka nchi jirani na kukuza uchumi wa Mkoa na Taifa.