| Sekta |Wakala | Kipengele | Urefu | Idadi | Gharama (Tsh) | Hali | Tarehe |
|---|---|---|---|---|
| TANROADS | Mtandao wa barabara | 1,201.81 km (kuu 594.46, za mikoa 607.35) | - | - |
| Barabara Kimkakati | Mpanda–Tabora | 352 km | 273,829,309,854.29 | Imekamilika |
| Barabara Kimkakati | Mpanda–Sitalike | 35.9 km | 38,042,000,000 | Imekamilika |
| Barabara Kimkakati | Mpanda–Vikonge | 35 km | 61,887,000,000 | Imekamilika |
| Miradi ya Kitaifa 7 | Barabara na madaraja (Kavuu, Lugufu) | - | 405,313,485,100 | Kuendelea |
| Miradi ya Madaraja (Benki ya Dunia) | Katuma/Sitalike, Mirumba/Kitumba, Kilida | - | 17,286,798,663.50 | Kuendelea |
| TARURA | Mtandao wa barabara vijijini na mijini | 2,796.254 km (Lami 38.141, Changarawe 519.749, jumla 557.89 km, Udongo 2,238.364) | 63,943,451,708.12 | Hadi Juni 2025 |
| Matengenezo 2024/25 | Barabara, madaraja, usimamizi | 226.145 km | 13,990,596,716.52 | Kuendelea |
| Bandari | Bandari ya Karema | - | 47,974,892,364 | Imekamilika; meli 4 zinaendelea kujengwa |
Haya ndiyo mambo 10 makubwa ambayo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameyafanya ndani ya miaka 4 ya uongozi wake (2021–2025):RAIS SAMIA: KIONGOZI WA MABADILIKO NA MAENDELEO YA KWELI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuthibitisha kuwa uongozi wake ni wa vitendo, uwajibikaji na matokeo chanya kwa Taifa. Tangu aingie madarakani mwaka 2021, ameweka msisitizo mkubwa katika kukuza uchumi, kuboresha maisha ya wananchi na kulinda amani na mshikamano wa kitaifa.
Katika kipindi cha uongozi wake, Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta za elimu, afya, nishati, maji, kilimo, miundombinu na ushirikiano wa kimataifa. Kupitia falsafa ya “Kazi Iendelee”, Rais Samia ameonyesha uthubutu wa kusimamia utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo Reli ya Kisasa (SGR), Mradi wa Kufua Umeme wa Maji – Julius Nyerere, ujenzi wa barabara na madaraja makubwa, upanuzi wa shule na hospitali, sambamba na kuhakikisha wananchi wanapata maji safi na salama.
Aidha, sera zake zimeimarisha uchumi kwa kuongeza mapato ya ndani, kupunguza utegemezi, na kuvutia wawekezaji wakubwa kutoka ndani na nje ya nchi. Kupitia ziara zake za kidiplomasia, Tanzania sasa imeimarika kimataifa, ikiheshimika kama nchi ya amani, fursa na mshirika thabiti katika maendeleo ya kikanda na kimataifa.
Zaidi ya yote, Rais Samia Suluhu Hassan amejipambanua kama kiongozi anayejali wananchi, hasa wanawake na vijana, akihamasisha ushiriki wao katika uchumi, siasa na uongozi. Hii imemfanya kuwa mfano wa kuigwa Afrika na duniani kote, akiweka historia kama mwanamke wa kwanza kuwa Rais wa Tanzania na kuongoza nchi kwa ufanisi mkubwa.
Hio barabara ya mpanda tabora lwa nini iko hapo hizo b200 zimepigwaView attachment 3447078
Sekta |Wakala Kipengele Urefu | Idadi Gharama (Tsh) Hali | Tarehe TANROADS Mtandao wa barabara 1,201.81 km (kuu 594.46, za mikoa 607.35) - - Barabara Kimkakati Mpanda–Tabora 352 km 273,829,309,854.29 Imekamilika Barabara Kimkakati Mpanda–Sitalike 35.9 km 38,042,000,000 Imekamilika Barabara Kimkakati Mpanda–Vikonge 35 km 61,887,000,000 Imekamilika Miradi ya Kitaifa 7 Barabara na madaraja (Kavuu, Lugufu) - 405,313,485,100 Kuendelea Miradi ya Madaraja (Benki ya Dunia) Katuma/Sitalike, Mirumba/Kitumba, Kilida - 17,286,798,663.50 Kuendelea TARURA Mtandao wa barabara vijijini na mijini 2,796.254 km (Lami 38.141, Changarawe 519.749, jumla 557.89 km, Udongo 2,238.364) 63,943,451,708.12 Hadi Juni 2025 Matengenezo 2024/25 Barabara, madaraja, usimamizi 226.145 km 13,990,596,716.52 Kuendelea Bandari Bandari ya Karema - 47,974,892,364 Imekamilika; meli 4 zinaendelea kujengwa
Jumla ya fedha zote ni shilingi 921,267,534,406.43
Jumla ya urefu wa barabara zote ni kilometa 3,998.064
==Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mrindoko, amesema katika sekta ya miundombinu ya barabara na bandari, TANROADS inasimamia barabara km 1,201.81 (kuu 594.46, za mikoa 607.35) ikiwemo barabara za kimkakati Mpanda–Tabora km 352, Mpanda–Sitalike km 35.9, Mpanda–Vikonge km 35 na miradi 7 ya kitaifa yenye gharama ya Shilingi 405,313,485,100 ikiwemo madaraja ya Kavuu na Lugufu, pamoja na miradi 3 ya madaraja yenye ufadhili wa Benki ya Dunia Shilingi 17,286,798,663.50.
TARURA inahudumia barabara vijijini na mijini km 2,796.254 (Lami 38.141, Changarawe 519.749, jumla ya Lami na Changarawe 557.89 km, Udongo 2,238.364) na Mkoa umepokea Shilingi 63,943,451,708.12 hadi Juni 2025 kufanikisha ujenzi wa barabara lami 17.6 km, changarawe 475 km, barabara mpya 487 km, madaraja 31 (Box Kalavati), madaraja ya kawaida 672, madaraja ya mawe 20; mwaka wa fedha 2024/25 TARURA iliidhinishwa Shilingi 13,990,596,716.52 kwa matengenezo, madaraja na usimamizi ikifanikisha matengenezo jumla km 226.145, Kalvati 153, madaraja ya mawe 4, Box Kalavati 33, mifereji 8,617 m na taa 46. Aidha, Bandari ya Karema Shilingi 47,974,892,364 umekamilika na inatumika huku ujenzi wa meli nne za kubeba mizigo unaendelea kusaidia usafirishaji kutoka nchi jirani na kukuza uchumi wa Mkoa na Taifa.
hujaeleza vizuri hebu fafanuaHio barabara ya mpanda tabora lwa nini iko hapo hizo b200 zimepigwa
Rais Samia ameibuka kuwa kiongozi shupavu, mwenye dira na maono makubwa kwa taifa letu; ndani ya kipindi kifupi cha uongozi wake ameandika historia mpya kwa kusimamia mageuzi ya kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa hekima na busara, huku akilinda amani na mshikamano wa kitaifa; chini ya uongozi wake, Tanzania imeshuhudia kasi ya maendeleo katika miundombinu mikubwa, upatikanaji wa huduma bora za afya na elimu, upanuzi wa miradi ya maji na umeme, ukuaji wa diplomasia ya uchumi na ongezeko la fursa kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu; kwa hakika, Rais Samia ni kielelezo cha ujasiri, mfano wa uongozi wa kidemokrasia na taa ya matumaini inayoliinua taifa kuelekea uchumi wa kisasa na maendeleo jumuishi.Hio barabara ya mpanda tabora lwa nini iko hapo hizo b200 zimepigwa
Hii barabara imekamilika muda mrefu kabla ya huyo mama,hizo fedha ni kwanini zimewekwa kuwa zimetolewa na mama?hujaeleza vizuri hebu fafanua
Ooh really?una bwabwaja tu kama chuchungeRais Samia ameibuka kuwa kiongozi shupavu, mwenye dira na maono makubwa kwa taifa letu; ndani ya kipindi kifupi cha uongozi wake ameandika historia mpya kwa kusimamia mageuzi ya kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa hekima na busara, huku akilinda amani na mshikamano wa kitaifa; chini ya uongozi wake, Tanzania imeshuhudia kasi ya maendeleo katika miundombinu mikubwa, upatikanaji wa huduma bora za afya na elimu, upanuzi wa miradi ya maji na umeme, ukuaji wa diplomasia ya uchumi na ongezeko la fursa kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu; kwa hakika, Rais Samia ni kielelezo cha ujasiri, mfano wa uongozi wa kidemokrasia na taa ya matumaini inayoliinua taifa kuelekea uchumi wa kisasa na maendeleo jumuishi.