Uchaguzi 2020 Katavi: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Katavi: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Katavi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Katavi una jumla ya majimbo ya uchaguzi 5. Wabunge walioshinda kwenye hayo majimbo ambayo ni:-

Mpanda Mjini:
Sebastian Kapufi(CCM) - Kura 24,020
Rhoda Kunchela(Chadema) - Kura 13,611

Mpanda Vijijini:
Moshi Kakoso (CCM)

Katavi/Mlele:
ISACK ALOYCE KAMWELWE - Amepita bila kupingwa

Nsimbo:
Ana Richard Lupembe(CCM) - Kura 38,346
Philipo Malaki(ACT Wazalendo) - Kura1292.

Kavuu:
Geophrei Mizengo Pinda (CCM)

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Poleni Chadema, mjiandae wakati mwingine
Mlikuja kwenye Uchaguzi bila mipango ila mihemuko tu
 
Naskia huko Kavuu mawakala wa Chadema 30 wamekamatwa na polisi, kuna matendo ya ajabu na kihuni sana yanafanywa na polisi kuisaidia CCM, huku Sirro akiendelea kupiga kelele zake za amani.
 
Poleni Chadema, mjiandae wakati mwingine
Mlikuja kwenye Uchaguzi bila mipango ila mihemuko tu
Mipango yenu ya kukamata mawakala wa upinzani bila makosa, au kuwateka walinzi wa wagombea?
 
Uchaguzi ni wa huru na haki

Na Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania kura ni 98%
Mipango yenu ya kukamata mawakala wa upinzani bila makosa, au kuwateka walinzi wa wagombea?
 
Back
Top Bottom