Katavi: Mtoto wa Darasa la 4 ajinyonga kisa mchango wa shule wa TSH 10,000

cc mcTobby Kingsmann endeleeni tu kutaka watu wazae watoto wakati hawana uwezo wa kuwahudumia.

Miguel Felix Gallardo yale yale uliyosema.
 
Yani nashindwa kuelewa kabisa,mtoto mdogo sana anajuaje mambo ya kujinyonga?anapata waoi huo ujasiri.
Naona ni kitu cha ajabu sana,
 
Nchi zilizoendelea ndizo zina rate kubwa ya suicide na homicide kushinda nchi hizi za dunia ya 3.

Huyo mtoto ni ana shida tu from the beggining, huo mchango ni just a trigger factor.
Usilete mtoto duniani kama huna uwezo wa kumuhudumia. Kwani ambao hawajazaliwa wana hasara gani? Kwani mimi nisingezaliwa ningepata hasara gani?
 
Nchi zilizoendelea ndizo zina rate kubwa ya suicide na homicide kushinda nchi hizi za dunia ya 3.

Huyo mtoto ni ana shida tu from the beggining, huo mchango ni just a trigger factor.
Na hizo shida unazosema kwa asilimia kubwa inawezekana zimesababishwa na maisha magumu aliyokuwa anaishi kwa sababu ya uwezo mdogo wa wazazi.
 
Na hizo shida unazosema kwa asilimia kubwa inawezekana zimesababishwa na maisha magumu aliyokuwa anaishi kwa sababu ya uwezo mdogo wa wazazi.
Umasikini haujawahi kuwa cause factor ya suicide mkuu.

Nchi zenye uchumi mkubwa ndizo zinaongoza kwa suicide wakati pesa siyo tatizo.
 
Hebu tuwaze hapa
Serikali inashindwa hata kutoa kalamu wakati wa mitihani

Madhara yake ni makubwa sana kwa hawa watoto wa masikini au wazazi wanaoshindwa kuwaandalia mahitaji mapema.
Mtoto anaomba hapati na maneno juu
 
Imeniumiza sanaaaa
10,000 TShs 💔💔💔
😭😭😭
R.I.P. Angel

Yaani hata hao walimu kweli walikosa kalamu hata kumuomba kwa wenzake.. Roho mbaya kila pahala za binadamu
 
Usilete mtoto duniani kama huna uwezo wa kumuhudumia. Kwani ambao hawajazaliwa wana hasara gani? Kwani mimi nisingezaliwa ningepata hasara gani?
Endelea kujilisha upepo mkuu.

Unaweza kuzaa kamoja au viwili na vyote vikakupa stress mpaka basi.

Mwingine akazaa 5 na malezi yakawa veeeery smooth!
 
Huu ujasiri wa watoto wadogo kiasi hiki kujaribu kukatisha uhai wao unatoka wapi??? Binafsi mtu anayeweza kujiua namuona ni mtu mwenye ujasiri mkubwa sana ambao pengine angeutumia katika maisha yake katika kupambana na changamoto mbalimbali basi angeweza kufika mbali na pengine angeangalia nyuma na kujutia kitendo alichotaka kukifanya
 
Mkuu, kwamba mtoto hana hisia ,apate uchungu au maumivu?. Kuna watoto wana matatizo ya afya ya akili wengi tu ni vile hatuzingatii. Labda tu tujiulize wazo la kujinyonga katoa wapi. Na hii teknolojia ilivyosambaa, usikute aliona kwenye movie.
 
Mental health
Pressure sometimes inakua kubwa mno na walimu wanatumia psychological torture kukusanya michango kwa watoto ,unakuta mtoto anakua overwhelmed na pressure na hali ya home anaijua
 
Pressure sometimes inakua kubwa mno na walimu wanatumia psychological torture kukusanya michango kwa watoto ,unakuta mtoto anakua overwhelmed na pressure na hali ya home anaijua
Hakika mkuu.
 
Haya yote ni serikali hii n CCM ndio raha yao.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…