Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,626
- 2,961
cc mcTobby Kingsmann endeleeni tu kutaka watu wazae watoto wakati hawana uwezo wa kuwahudumia.Serikali naomba mpokee ushauri huu,tuko huku mtaani baadhi tunaona mamo haya,kwanza kuna siku nusra mtoto wa darasa la 5 ajinyonge huku kisa mzazi hakuna na sh 1000 yakumpakwa ajili ya mtiani wa kufungia shule,ushauri kwa sasa shule za serikali zimekuwa na gharama sana,binamu yangu darasa la nne shuleni mchango jumla ni sh 65,umo kuna mitiani,kuna chakula cha mtiani siku mbili 14000.
Kwa sasa serikali imeachia mwanya sana katika hili.
Miguel Felix Gallardo yale yale uliyosema.