Mangi Meno
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 292
- 895
Nakuongezea udambwi udambwiHabari hii imeripotiwa kwenye habari wikiend na UTV.
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida, kijana Edward Futakamba, mkazi wa Mpanda mkoani Katavi amejikuta akifanya sherehe ya harusi bila ya mwenza wake, ikidaiwa siku chache zilizopita familia ya bibi harusi ilighairi kufanyika kwa ndoa hiyo.
Imedaiwa kuwa vikao vya maandalizi ya wawili hao kuoana vilikuwa zimekamilika, pamoja na kutangazwa kanisani, hata hivyo kwasababu ambazo bado hazijawekwa wazi, bibi harusi mtarajiwa hakufika kanisani wala ukumbini.
✍
Ujinga huu ni zaidi ya ubaya ubwelaHabari hii imeripotiwa kwenye habari wikiend na UTV.
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida, kijana Edward Futakamba, mkazi wa Mpanda mkoani Katavi amejikuta akifanya sherehe ya harusi bila ya mwenza wake, ikidaiwa siku chache zilizopita familia ya bibi harusi ilighairi kufanyika kwa ndoa hiyo.
Imedaiwa kuwa vikao vya maandalizi ya wawili hao kuoana vilikuwa zimekamilika, pamoja na kutangazwa kanisani, hata hivyo kwasababu ambazo bado hazijawekwa wazi, bibi harusi mtarajiwa hakufika kanisani wala ukumbini.
✍
Mwandishi uandishi wako hauko sahihiHabari hii imeripotiwa kwenye habari wikiend na UTV.
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida, kijana Edward Futakamba, mkazi wa Mpanda mkoani Katavi amejikuta akifanya sherehe ya harusi bila ya mwenza wake, ikidaiwa siku chache zilizopita familia ya bibi harusi ilighairi kufanyika kwa ndoa hiyo.
Imedaiwa kuwa vikao vya maandalizi ya wawili hao kuoana vilikuwa zimekamilika, pamoja na kutangazwa kanisani, hata hivyo kwasababu ambazo bado hazijawekwa wazi, bibi harusi mtarajiwa hakufika kanisani wala ukumbini.
✍
Ni sahihiAngetangaza tu kanisani ambaye yupo tayari kuolewa ajitokeze!wapo wanamaombi wangejitokeza na kuolewa!!
Hii kitu ilitokea kwa cousin, yule bint moaka hajawahi kuolewa, ile huwa inageuka kuwa laana. Kama bint au familia yake haito mtafuta jamaa kuomba msamaha hakuna ata stuck hapo hapo for a whileUyo bint kajtafutia laana bila kutarajia Ndoa ataishia kuiona kwa wengne
Mambo yakamzidia. Hii inawezekana kabisaAlikuwa na mimba huyo kafanya kwenda kuchomoa